Naxy Yesse
Member
- Jul 27, 2015
- 46
- 12
nimesha fanya yangu,,,wasanii wajinga wanao fikiria kuwa na idadi kubwa ya followers kwenye insta ni maendeleo hawawezi kunishawishi nimchague kiongozi kwani wao ni vilazaaaaaa
Nilivyo kusoma tatizo ni kuwa mfuasi wa CCM, si ndio? Sasa haya mambo mnayo yaleta humu yatawagharimu...Hivi wamasai wa meru wanavyo jitoa CCM, unafikiri Wasukuma na wanyamwezi au makabila yaote ya kanda ya ziwa hawataki Rais atoke kwao? kwani hatujui kwamba mmesafirisha watu kwenda Mwanza kuficha aibu yenu? Mnataka kabila kubwa kuliko yote na lanyewe lijipambanue na kuegemea kwa Mgombea wa kabila lao? Basi ukabila utatawala kampeni hizi muone kama mtashinda
Imekugusa hiyo polee sana,kama haijakugusa jifikilie kwa akili ya kawaida watu zaidi ya 7 kupost kitu kimoja unapata picha gani hapo!!chege,linah,shilole kawaangalie instaAcha ujahiliii kila mtu ana uhuru wa kusapoti anachapenda
Acha ukabila wewe! Chadema ni ya watz wote!
nimewadharau sana wasanii wa Tanzania !
Imekugusa hiyo polee sana,kama haijakugusa jifikilie kwa akili ya kawaida watu zaidi ya 7 kupost kitu kimoja unapata picha gani hapo!!chege,linah,shilole kawaangalie insta