Wasagana kwa miaka 71,wameamua kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Mwisho wa dunia nadhani wakaribia, Gazeti la Guardian linaripoti bibi Boyack 91 na Alice 90 wamefunga ndoa wawe mke na mume baada ya kua na mahusiano ya kusagana kwa miaka 71 huko jimbo la lowa state nchini Marekani.

90-Year-Old Women Get Married After Seven Decades Living Together
wot4t7jcme1jf5qpk8j0.jpg

It's not a competition, but here's the best wedding that happened this weekend: 90-year-old Alice "Nonie" Dubes and 91-year-old Vivian Doyack got married in Davenport, Iowa after 72 years together. Vivian wore pink, Nonie wore taupe, and the two held hands in their wheelchairs during the ceremony.

According to the Quad City Times, Vivian and Nonie met in their hometown of Yale, Iowa and moved to Davenport together in 1947. Vivian was a longtime elementary school teacher and Nonie did payroll work. Nonie says of their romance: "We've had a good time."

The two have apparently visited all 50 states, all the Canadian provinces, and England.

The officiant Rev. Linda Hunsaker told attendees on Saturday, "This is a celebration of something that should have happened a very long time ago." Gay marriage was legalized in Iowa in 2009.

Source: qctimes
 

Attachments

  • Vizee.jpg
    Vizee.jpg
    23.7 KB · Views: 904
Sasa hii habari inatusaidiaje sisi watanzania? Au kwa sababu jf ni ya ulimwengu mzima!!?? Modes hamna uwezekano wa baadhi ya sleds zisionekane baadhi ya nchi kulingana na maadili ya nchi husika?
 
emkey
haina udini hii ndugu yangu.. ila tungusema ni waislamu msingekawia kutulipua.. FUTA UDINI KWENYE AKILI YAKO.
 
Last edited by a moderator:
kweli maendeleo hata afrika itafikia kipindi mambo haya yaonekana kawaida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom