Wasabato masalia walamba mwaka mmoja jela

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
wale mitume na manabii waliokuwa wakisubiri kwenda nje kwa kutumiab.....na huku wakirudishwa na kufanya watu kuwa kama vichaa kuwafikiria wao wamelambwa mwaka mmoja jela wakakae huko wakijiandaa upya...habari zaidi zinasema watu hao wakiwa 24 wamehkumiwa jela na wakati wakipelekwa jela walisema wanaonewa maana wana haki ya kuishi popote nchini mwao....wanatuonea bure tu....hata hivyo huku jela ni safari pia...alinukuliwa mmoja wao....polen sana kwa walioathirik tunajua kuna waliokuwa na familia nzima yaani mke na watoto ...tunawatakien maisha mema mnapoenda kuanza maisha mapya.....Msiwe na hofu ZOMBE yuko chumba peke yake LYUMBA na kweka wako LOUNGE YA JELA Msiwe na shaka na hawa ,,,zaidi msalimien babuseya na watoto wote waambien ipo siku mungu atashusha miujiza yake
 
Hiyo ni vita ya imani according to them.imani ni kitu cha ajabu sana na kikubwa sana hata wakitoka wanaweza kuendelea.ila wale watoto jamani duu watasoma kweli??
 
Ni kweli wana haki ya kuishi popote nchini mwao. Wale wadodoma na watoto wao pale mnazimmoja mbona wao hawafuatwifuatwi?
 
Wanyampala wa jera walikuwa wanawasubiri kwa hamu wafike huko ili wajichukulie....kwani wanaamini kwamba hao Wasbato bado wako fresh...hawajavurugwa.....
 
on the other side i stand...! "GOD WILL BE ON YOUR SIDE... IT IS THE TIME TO KNEEL DOWN AND SEEK HIM......!
SIKU ZOTE UKISIMAMA KATIKA MSTARI AU NJIA ISIYOFUATWA NA WENGI MTU HUONEKANA MPOTEVU KATIKA MACHO YA WATU HAO......!
KAMA ILIVYOKUWA KWA NUHU & GHARIKA WATU WENGINE WALIKUWA WAKIFANYA MIZAHA KWA NUHU LAKINI .....THE END JUSTIFIED THE MEANS KWA WATU WALE .....!
OMBI LANGU KWETU SISI WENGINE WE SHOULD NOT THROW STONES ON THEM, BUT TUWAFARIJI NA KUWA PAMOJA NAO.....!
"
I stand in the opposite side of the issue....!
GOD BLESS THEM..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom