Was Zitto Wrong?

Yes Zitto was wrong kuhoji mali za Tanzania ambazo CCM wanadhani wana haki nazo kuliko sisi.Yes Zitto was very wrong kutusaidia kutuambiwa tuna ibiwa na sasa hawa wenye madaraka hawalali wamechanganyikiwa.Yes he is wrong maana kakataa kula kiapo cha unafiki na badala yake kafanya kweli . Nasema you were very wrong na utaendelea kuwa wrong kwa kusimamia maslahi ya sisi Watanzania na kuacha maslahi ya wachache.

Zitto was wrong akagusa pabaya hadi Mzee Malecela akasahau kwamba ni mzazi na ana vijana wa umri wa Zitto akamwita mtoto wa mwenzie kwamba ni Mwiba mkali usiachwe kuendelea kumea.
 
Back
Top Bottom