Warioba: Katiba mpya ni muhimu kabla ya Uchaguzi 2015

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Jaji Warioba amesema" Kutokana na hali ilivyo na hali ya kisiasa ilivyo hapa nchini, lazima uchaguzi ujao 2015 tuwe na katiba mpya la SIVYO HALI TUNAYOIONA HUKO VIJIJINI NA MAONI YANAYOTOLEWA, KATIBA MPYA INAHITAJIKA HARAKA"
source: Mwananchi ya leo uk.5
 
We do not have to invent the wheel! Katiba ya Kenya inaweza kutusaidia sana kuandika ya kwetu. tatizo lililopo: wangapi wataisoma ya kenya kuifanya their template to shape their views! Kumbuka, LAW OF MARRIAGE ACT, 1971, ilikuwa modeled along that of Kenya and is working well pamoja na matatizo madogo ya kurekebisha.
 
Suala sio katiba mpya pekee hapa bali pia ni katiba bora itakayokidhi haja za watanzania wa leo na wa vizazi vijavyo kama taifa lenye mwelekeo mmoja.
 
Back
Top Bottom