Warembo wetu jamani vimini mhhhh

Hapana!jamani hii co kata kei!!kaacha tu kanafasi kidoogo ili hewa iingie,c unaona nguo yenyewe imembana?n hata chup cdhan kama kavaa?anyway dar joto sana,no need!
Mkuu unatumia macho yenye lens ya magnification kiasi gani maana hilo la chupiless silioni kwa my naked eyes
 
mkubwa ndio maana nilitumia neno cdhani,nikiwa namaana kwamba what i think,coz kama yupo teyari kutuonesha sehemu nyet ya mwili wake so mtu kama huyu cjui hata kama chup inaumuhimu tena kwake!
 
Ushindani umekuwa mkali zaidi si mnajua wao ni wengi kuliko wanaume au hamjasikia hiyo. 'cut throat competition'
 
Hii kata kei mie hoi!@@

SI851737.JPG

Ana watoto wangap/ mimba? Nimempenda sana!
 
mtu na heshima zake hawezi kuvaa vichupi na kujichora tatuu kiasi hicho!!

lazima hao wako sokoni lol!!!
 
Kila mtu na fani yake...Hata wao wanakushangaa wanapokuona unavyovaa wewe ukidhani upo sahihi...yape maungo hewa bana dada zetu...Mwenye kulewa kwa kuona shauri yake...!!Halafu mjue hapo watu wapo kazini...wanakusubiri we mwanaume mwenzangu ulewe kwa kuona tuu...mchahara wanaupata fasta kutoka kwako...tehee...!!!
 
Hivi mbona mimi sijawahi kubahatika kuona viumbe wa namna hiii...wanapatikana wapii..!!??Nakumbuka kauli ya mzee mmoja alisema ukitaka nguo utakuta imetundikwa kwenye vinyago/sanamu madukani,na ukitaka mwanamke kwa kuchagua maumbile utawakuta streat wakitembea bila nguo.Hivi ndio hawa pia wanatumiaga TIGO pia...please nisaidiwe kujuzwa jamanii...i need just to see live..!!
 
wangekuwa wamevaa mchana au kanisani tungeweza kulaumu...! hizo in evening wear...! HAKUNA UBAYA HAPO...! ulitaka wavae madera jioni..?

WANAUWAKE NI MAUA..! si unaona wanavyo vutia kuawaangalia..!
Hata kama ni jioni mkuuu sio kuvaa vilee unajua sisi asili yetu ya waafrika nikujisitili sio kuacha kila kitu wazi imagine umetoka na wife wako kavaa vile utakuwa huru au dad au mdogo wako mmetoka jioni we have to be realistic
 
Nadhani kaongelea kwa wanawake ambao wako single..
 
Sidhani kama ni vema kutuwekea jamvini pics za watu wakiwa kwenye mambo ama starehe zao. Nalipinga hili sababu ni violation of personal privacy
 
Haiwasaidii maana biashara hiyo ni mambo ya zamani. Siku hizi watu wanaogopa ngoma
 
Back
Top Bottom