Warembo Mpo..nahitaji mdada wa kuwa naye maishani

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Hodi jamvini!mimi ni mkaka ninayeishi tanzania kanda ya ziwa natafuta mrembo mwenye sifa zifuatazo ambaye nayeweza kuwa naye maishani.Mcha mungu,mwenye elimu ya kawaida ,mwenye uelewa na ufahamu wa kawaida yaani siyo mbishi hata kama kitu hakijui yeye anabisha tu.awe anaweza kunielewa madhaifu yangu na kunishauri,awe msema ukweli muda wote wa maisha yetu umri awe na umri siyo issue kubwa kwa kuwa naamini atakuwa na umri wa kawaida yaani from 1977-1987.Wasifu wangu unarandana na sifa nilizoziweka hapo kwa nimtakaye.aliyetayari kwa uhusiano wa dhat kuanzia atakaposoma uzi huu anakaribishwa kwa aina zote za mawasiliano chumba cha faragha.
 
Elimu ya kawaida ni ipi hiyo??

Hilo ndilo swali na mm nilijiuliza niliposoma hii thread. "Elimu ya kawaida" Jamani wanaume muwe tayari kuwa challenged,
hv mnataka kusema baba zetu walifanya makosa kutusomesha au?na Je watoto wenu mnaokazana kuwasomesha mnajua kwa mentality hizi nao wataishia kukosa waume kuendeleza kizazi aghhhhr.Napenda wanaume wanaojiamini.
 
habari za siku nyingi mkuu.......ulipotea sana.......wazima utokako.....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom