Waraka wa TEC kusomwa kwa mara ya 6 kesho!

Ni hitimisho la Usomaji wa Waraka wa TEC kwenye Makanisa yote ya Katoliki

Nawatakia Sabato njema

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Are you sure? Mababa walidanganywa na Kada wa CHADEMA Fr Kitima, wamemshtukia. Waraka sasa unasomwa kwenye mikutano ya CHADEMA kama ilivyopangwa hasa hasa mbowe mluteri anaitumia sana.
 
Ni hitimisho la Usomaji wa Waraka wa TEC kwenye Makanisa yote ya Katoliki

Nawatakia Sabato njema

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Ni jambo jema. Wachungaji wa roho za Bwana ni wajibu wao kuwaasa kondoo wao kujitenga na uovu kama vile kudhulumu rasilimali za nchi zilizopo kwaajili watu wote kwa malipo ya rushwa.

Muumini yeyote anayeunga mkono uovu akijua kuwa ni uovu, anatenda dhambi ya mauti kwa sababu amemkufuru Roho wa Bwana aliyemfunulia na kumwonesha kuwa ni uovu, lakini yeye akadharau na kukaza shingo, akaamua kuendelea kuutukuza na kuushangilia uovu.
 
Are you sure? Mababa walidanganywa na Kada wa CHADEMA Fr Kitima, wamemshtukia. Waraka sasa unasomwa kwenye mikutano ya CHADEMA kama ilivyopangwa hasa hasa mbowe mluteri anaitumia sana.
Kwenye kanisa katoliki, maamuzi kama hayo yana amuliwa na askofu wa Jimbo husika.

Kusomwa na kutokusomwa inategemea na askofu husika kwenye Jimbo lake, hata kama TEC walikubaliana.
 
Tutaona kama Kuna kitakachotokea licha ya kusomwa kwa wiki kidhaa!
 
Wasomewaji sasa,nyomi mabarabarani kumsikiliza mama!Hahahaaa!
JamiiForums-1254192395.jpg
 
Ni hitimisho la Usomaji wa Waraka wa TEC kwenye Makanisa yote ya Katoliki

Nawatakia Sabato njema

Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Tunashukuru waraka unasomwa!

Lakini TEC ingekua inaandaa nyaraka Nyingine KWA AJILI ya uboreshaji huduma KWA wananchi kwasasa umeme unakatika TEC kwanin isiandae waraka wa namna ya kuboresha umeme!!

Mazingira ya wananchi na vipato VYAO wao hawaoni !?kuna mengi kama kanisa takatifu la NITUME lilipaswa kuandaa nyaraka na sio Bandari pekee!!

Ina MAANA TEC inaona uwekezaji mwingine uliopo una tija KWA mwananchi MMOJA MMOJA HADI isiandae waraka!?bali la Bandari pekee tu NDIO la kuandalia waraka!!?

Maisha ya watz na vipato VYAO haviwahusu hadi waone la Bandari pekee!!?

Tunataka TEC ILIYO ADVANCE ZAIDI NA SIO SELECTIVE KAMA HII NINAYO IONA!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!
 
Kwani wakatoliki ndo nini bandari itauzwa tu Tena Kwa waarabu.awamu hii hamna chenu
 
Ni hitimisho la Usomaji wa Waraka wa TEC kwenye Makanisa yote ya Katoliki

Nawatakia Sabato njema

Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Haya kiko wapi ? Watu wameshamaliza huko nilisema hakuna wa kushindana na serikali especially hii ya kwetu hawa jamaa wakitaka jambo lao lazima wafanikishe, hizo kelele zitaisha na maisha yataendelea
 
Back
Top Bottom