Waraka wa Serikali Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010

tigana

Member
Feb 20, 2012
22
1
"" Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010."" Naomba mwenye Huu waraka anisaidie
 
Wakuu mwenye kujua waraka huo hapo juu unasemaje juu ya watumishi Wa umma anijulishe,au kama kuna mtu anao waraka huo auweke hapa,nimeutafuta sana pasina mafanikio,natanguliza shukurani zangu za dhati
 
Mkuu tuache kwanza tumalize kusafisha ufisadi wa awamu ya 5. Mambo ya nyaraka yatafwata baada ya hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom