Waraka wa Maaskofu Katoliki kusomwa na makanisa yote nchini kesho Agosti 21, 2023

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Serikali sikivu ni serikali imayosikiliza maonj ya wananchi chawa endeleeni kumdanganya mama na kusema udini lakini juweni kuwa mkataba huo hakuna anayeutaka zaidi ya nyie mnaoongiza serikali ,mnaowaoongoza wameshasema hauna maslahi kwa taifa kiujumla

Kesho mapema nawahi siti ya mbele kusikiliza neno la bwana.

Usiku mwema.

IMG_2239.jpeg

IMG_2240.jpeg
 
Serikali sikivu ni serikali imayosikiliza maonj ya wananchi chawa endeleeni kumdanganya mama na kusema udini lakini juweni kuwa mkataba huo hakuna anayeutaka zaidi ya nyie mnaoongiza serikali ,mnaowaoongoza wameshasema hauna maslahi kwa taifa kiujumla

Kesho mapema nawahi siti ya mbele kusikiliza neno la bwana . usiku mwema.View attachment 2721876
Hata ungesomwa Kila familia ni kupoteza muda tu nyie walevi na wazinzi hamna Cha maana

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Zee FaizaFoxy kuja hapa uone Nchi inapambaniwa na wenye Nchi. Hatutakubali kudharaulika hata kwa vitu tuvionavyo kwa macho, watuibie pesa wafiche ulaya bado na vitu tunavyoweza kuvisimamia watuibie huku tunaviona?. Hatutakubali tupo tiali kufa kwaajili ya Tanganyika yetu lakini sio dharau hizi.
 
N
Serikali sikivu ni serikali imayosikiliza maonj ya wananchi chawa endeleeni kumdanganya mama na kusema udini lakini juweni kuwa mkataba huo hakuna anayeutaka zaidi ya nyie mnaoongiza serikali ,mnaowaoongoza wameshasema hauna maslahi kwa taifa kiujumla

Kesho mapema nawahi siti ya mbele kusikiliza neno la bwana . usiku mwema.View attachment 2721876
Nchi hii co yakikatoliki na Wala Safari hii hamtasikilizwa maoni yetu yatatupwa kwenye Dustbin
 
Back
Top Bottom