Wapinzani wa kibongo

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
HAWA WAPINZANI WA KIBONGO SIWAELEWI,WANA NIA KWELI YA KUTUVUSHA AU NI TAMAA ZAO BINAFSI,NAOMBENI MISIMAMO YA JOHN CHEO,AUGUST MREMA,MTIKILA NA WENGINE WENGI:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
Remember Ayi Kweyi Armah in his book "The Beautiful Ones Are Not Yet Born" mpinzani wa kweli ni mwananchi mwenyewe alieamua kuutokomeza ubepari mambo leo na kuuvaa uzalendo wa nchi yake, na si yule anaetegemea mabwana wa ulaya na nchi zilizoendelea kuing,oa serekari iliyopo madarakani, wanaochimba madini yetu ni hao jamaa wa dunia ya kwanza, na sisi tunaojiita tunamachunu na nchi ndio tunafadhiliwa kwa mamilioni ya fedha na wao, unategemea nini ukiingia madarakani, utakapopinga masharti yao, wanakuja na UN-security council azimio la economic sanctions linapitishwa unabaki kung'aa sharubu kama mugabe. siasa ya Tanzania na nchi zote zinazoendelea ni siasa ya kipuuzi haina ukweli, ni kupakana matope ktk vyombo vya habari ili mtu apate umaarufu.
 
Eleza ni nini ambacho huelewi kuhusu wapinzani na hasa hao uliowataja..?? Nini msimamo na nia ya serikali yako ya kukuvusha.?? Au bado upo upande wa pili wa mto..?? "Topthinker"

HAWA WAPINZANI WA KIBONGO SIWAELEWI,WANA NIA KWELI YA KUTUVUSHA AU NI TAMAA ZAO BINAFSI,NAOMBENI MISIMAMO YA JOHN CHEO,AUGUST MREMA,MTIKILA NA WENGINE WENGI:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
haina mvutoo hy we ulitaka waungane na kina nan najua U CDM tuu ndo unautana mtawaita sana tu CCM B maana wameona hkn pa kukimbiliaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom