Wapi nitapata viti vya plastic

torres0909

Member
Feb 22, 2011
41
20
Nahitaji kununua viti kama 50 hadi 100 vya plastic. Viwe vilivyotumika au vipya ila viwe na ubora mzuri.
 
...uko wapi,kama uko hapo dar nenda kwenye duka la cello kkoo bei yao ipo chini sana au nenda kiwandani moja kwa moja utapata bei nzuri...
 
Mkubwa,bei ya chini kama shillingi ngap?Ingekua vizuri utupe kadirio lao ili kila mtu ajue na si kwamba siku nyingine akiwa anahitaji msaada mpaka akucheki wewe
 
Nipo DAR, itakuwa poa kuipata kujua makadirio ya bei kwa hizo sehemu niende kamili
 
Niliwahi kununua pale Cello Kiwandani kwa Tsh9500@....
Ila bei zina range kati ya 8000 - 12000 kutegemeana na aina ya viti unavyotaka...
 
hello ndugu, hata mimi nahitaji viti vya plastic. kiwanda cha cello kipo wapi hapa dar? tafadhali
 
Ukitokea pale Veta Chang'ombe. kama unakwenda uwanja wa Taifa kabla hujafika Keko kwenye fenicha, upande wa kulia kuna barabara ya lami inaitwa Mbozi road.... ukiifuata hii barabara cheki kulia kwako utaona mahali kuna maandishi ya Cello... Ni hapo!
 
hello TANMO
Asante kwa maelekezo yako. nimekupata uzuri.
Sorry hivyo viti vya 9,500 ulivinunua mwaka gani? na wanauza kuanzia pieces ngapi pale kiwandani? plz
 
hello TANMO
Asante kwa maelekezo yako. nimekupata uzuri.
Sorry hivyo viti vya 9,500 ulivinunua mwaka gani? na wanauza kuanzia pieces ngapi pale kiwandani? plz

Nilivinunua mwezi wa Tano Mwaka huu Mkuu...
Sifahamu mwisho mtu anaweza kununua Pcs ngapi. Ila binafsi nilinunua 50Pcs...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom