Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,882
- 2,762
Wadau nauliza wapi nitapata sehem inapouzwa asali ile mbichi, sio ile ya chupa za konyagi. Natanguliza shukrani zangu
naweza kukusaidia....we ni-PM
...Kwa anga hizi, ndugu KINGI, Preta atakusaidia kwa uhakika!... ana mahusiano ya mojakwa moja na maeneo ya tukio!
Wadau nauliza wapi nitapata sehem inapouzwa asali ile mbichi, sio ile ya chupa za konyagi. Natanguliza shukrani zangu
Mkuu kwangu mimi ubichi wa asali maana yake ni kwamba ni ile ambayo ni halisi haijachanganywa na kitu chochote, suala la kuwa kwenye chupa ya konyangi hiki ni kifungashio tu haiiondolei ubichi au uhalisia wake. Naomba ufafanue kama suala ni kwamba hutaki kifungashio cha chupa ya konyagi.
kama una jamaa tabora Agiza huko
naweza kukusaidia....we ni-PM
dah! niliulizia hii kitu nikaona no response then nikawa kimya. leo ndio nimecheki huku nikaona responses zenyu. nazifanyia kaziNenda pale makao makuu ya wizara ya Maliasili na Utalii ghorofa ya tatu, kuna wataalamu wa nyuki utapata asali safi yenye viwango unavyohitaji