Wapi naweza kupata viti vya plastiki kwa bei ya jumla

Godface

JF-Expert Member
Mar 4, 2020
211
559
WAPI NAWEZA KUNUNUA VITI VYA PLASTIKI KWA BEI YA JUMLA KWA DSM

sent from HUAWEI
 
Nenda chang'ombe road karibu na Veta kuna barabara inaingia kulia kama unatokea Ilala kuna viwanda kama ntakua sijakosea ni Simba plastic au Jambo plastic.
 
Nenda chang'ombe road karibu na Veta kuna barabara inaingia kulia kama unatokea Ilala kuna viwanda kama ntakua sijakosea ni Simba plastic au Jambo plastic.
...Yeah, barabara ya viwandani. Pia anaweza wacheki cello, Jambo kwenye Google kupata contacts zao then watamwelekeza jinsi ya kufika kwenye viwanda husika au maduka yao ya jumla
 
Nenda Cello, wako Chang'ombe. Kama uko mkoani unaweza fanya order kupitia simu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom