Wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa?

Ak4700

Member
May 29, 2018
18
97
Wakubwa habari za majukumu.

Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma
 
Wakubwa habari za majukumu.

Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma
Dodoma sijui ila Dar zipo mojawapo iko karibu na Jengo la Extelcom pale jirani na msikiti mkubwa wa mabohora jina nimesahau huuza na kumunua pesa mbakimbali za middle East

Nadhani hata Kariakoo zaweza kuwepo pia
 
Back
Top Bottom