Wapi napata Mbegu bora ya Nguruwe Musoma

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
494
wajuvi, naomba msaa wa kupata mbegu bora za nguruwe musoma.Nataka kuanzisha mradi was ufugaji was kibiashara.
 
mkuu ukifika musoma kweny stend ya magali "bweri stand" kwa juu kdogo kama unaenda bweri center kuna rafk anazfuga na anao weng sana pia mbegu ni bombaaaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom