Wapi kwa kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla

Habari zenu wana jf
Nina idea kubwa sana ya kuleta change
Nataka ninaanze kuuza gadgets kama smartphones,laptops na game consoles na game discs kwa mtaji wa 10 millions wapi naweza pata hizo bidhaa
Je nifunge safari kwenda nje au ninunue online na vipi kuhusu changamoto zilizopo hasa kwenye masuala ya kodi
Tafadhali kama una experience na hili usisite kufahamishana hasa kuhusu wapi unanunua bidhaa na kuzileta tz na pia je hizo bidhaa ni original na sio fake kwani hio ni challenge kubwa

Kaka ushauri wangu... huzo pesa ni ndogo sanaaa kwa kwenda au kuaguza nje kwa biashara hiyo... mm nauza laptops and desktop also phones. Nipigie nikupe ushauri zaidi .... 0779420000
 
Jamani kama una experience naomba unisaidie ,nashindwa kuelewa huyo mtu aliesema 10 millions ni sawa na smartphone 10 tu.
Au alkua anamaanisha smartphone gani?
Na pia kwani huo mtaji ni mdogo sana kwa ajili ya biashara hio?na kama ni mdogo natakiwa niwe na kiasi gani cha feza ili nifanikishe zoezi hilo?
Maoni yenu ni muhimu sana kwangu
Natanguliza shukrani

0773044899, 0715044899. Huyu yeye naleta vifaa nyingi kama hiyo wewe nataka. Anza hapo pata capital kuende Singapore ndio pata wewe quality products.
 
Daaaah now i know
Dont tell people your dream, show them
Lakini i will never back down

Word usikatee tamaa, mm mwenyewe nataka kuanza iyo biashara na nimesha anza kununua simu moja moja ila mm na nunua used na nimezifata mwenyewe UK.
 
Habari zenu wana jf
Nina idea kubwa sana ya kuleta change
Nataka ninaanze kuuza gadgets kama smartphones,laptops na game consoles na game discs kwa mtaji wa 10 millions wapi naweza pata hizo bidhaa
Je nifunge safari kwenda nje au ninunue online na vipi kuhusu changamoto zilizopo hasa kwenye masuala ya kodi
Tafadhali kama una experience na hili usisite kufahamishana hasa kuhusu wapi unanunua bidhaa na kuzileta tz na pia je hizo bidhaa ni original na sio fake kwani hio ni challenge kubwa

Wasialana nasi, tuko China tunaweza kusupply hivyo vitu vyote kwa bei nzuri kulingana na budget yako!

Traders Easy Way-We Supply According to your Budget - Featured Electronics
 
Mkuu nichek after next week mimi huwa naleta electronics from Dubai..sijawai hizo games lakini consoles na mashines kama PS huwa naleta pamoja na TVs na hometheatres...bei ni za jumla na utacompare mwenyewe..

VP cm za teno pia unaleta?
 
Back
Top Bottom