Wapi kuna tamasha la injili leo ?

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Kwa mnaoshi Dar wapi kuna tamasha la kumsifu Mungu sijajumuika muda mrefu,naomba mwenye taarifa aweke hapa tukamwimbie na kumsifu Mungu!
 
kkkt mabibo extenal.Kuna uzinduzi wa albamu.tamasha linaanza saa nane mchana bila kiingilio.
 
Back
Top Bottom