Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Hushauriwi kutema bazoka, kwa kuonjeshwa utamu wa karanga kwani humudu kwa muda mfupi tu tofauti Na ule wa bazoka.

Muchie Sechaba Moloi, alikuwa Na nafasi nzuri ya kukuza Na kujifunza mambo ya kiongozi pale penthouse kwa CEO Nikiwe, lakini kwa tamaa za karanga akatumikia Malaika Sebeko pamoja Na shetani mwenye sura ya Cleopatra Nina!

Kajikuta katika mkwamo Mkuu, katika mauaji ya Mzee wa kabisa Mbatha! mara ya kwanza akihojiwa Na Edie kakana si kwa kutomjua tu Bali hata hajawahi muona. Bahati mbaya Mzee wa totoz Mtumishi wa "Mungu" sio MUNGU anajua kutumia ulimi wake katika kujitetea! kamsukumia Moloi zigo, now Edie anamshuku Moloi Kuwa ana fishy agenda juu ya kifo cha Mbatha!

Mambi yamekuwa mambo. kunakila dalili Nikiwe atamfukuza Moloi kama mshauri Na msimamizi wa maswala ya wachimbaji katka SIBEKO Na Kule polisi ataozeahwa keai ya mauaji ya Mbatha!

Ha ha ha ha kweli Isidingo the Needs, maana Aphiwe ananeed kitu, Barker mafiaso ananeed kitu, Na hata Edie Holmes ananid kitu! ha ha ha
 
Aaaah nimepapenda hapo kweli the isidingo the needs. Aphiwe aneed kitu, barker ananeed kitu eddie ananeed kitu!
 
Hushauriwi kutema bazoka, kwa kuonjeshwa utamu wa karanga kwani humudu kwa muda mfupi tu tofauti Na ule wa bazoka.

Muchie Sechaba Moloi, alikuwa Na nafasi nzuri ya kukuza Na kujifunza mambo ya kiongozi pale penthouse kwa CEO Nikiwe, lakini kwa tamaa za karanga akatumikia Malaika Sebeko pamoja Na shetani mwenye sura ya Cleopatra Nina!

Kajikuta katika mkwamo Mkuu, katika mauaji ya Mzee wa kabisa Mbatha! mara ya kwanza akihojiwa Na Edie kakana si kwa kutomjua tu Bali hata hajawahi muona. Bahati mbaya Mzee wa totoz Mtumishi wa "Mungu" sio MUNGU anajua kutumia ulimi wake katika kujitetea! kamsukumia Moloi zigo, now Edie anamshuku Moloi Kuwa ana fishy agenda juu ya kifo cha Mbatha!

Mambi yamekuwa mambo. kunakila dalili Nikiwe atamfukuza Moloi kama mshauri Na msimamizi wa maswala ya wachimbaji katka SIBEKO Na Kule polisi ataozeahwa keai ya mauaji ya Mbatha!

Ha ha ha ha kweli Isidingo the Needs, maana Aphiwe ananeed kitu, Barker mafiaso ananeed kitu, Na hata Edie Holmes ananid kitu! ha ha ha
Tayari DNA imemnasa Sechaba na Eddie amembeba kwa mahojiano zaidi.
 
Wadau wa isidingo habari zenu? Naomba mnijulishe isidingo ya Leo jumanne . Huku umeme umekatika wapendwa
 
Sechaba naona anazidi kuchanganyikiwa baada ya Nina kumtosa kumsaidia na kumwambia asimuite tena
 
Wacha yamkute. Kwa nini yeye hataki kutembelewa na Lerato na wazazi wake? Halafu huyu Sechaba anajua Nina ndo alimwua Mbatha kwa kuwa wakati yule Sgora anaagizwa akamlete Mbatha Sechaba alikuwapo.
 
Kwenye picha ya ultrasound ya mimba ya katlego nimeona mtoto kafanana na calvin
 
Back
Top Bottom