Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Itakuwa episodes walizonazo zimeisha maana sio kwa kurudia huko...kwakweli wanatuumiza sana
 
Yaaani Id extra ni balaa...ushaangalia Murder among friends au Deadly sins
Sana saa hivi niko na I would kill for you ila kitu ilikuwa nilikuwa naelewa ni blood relative ambayo iko kama hii murder among friend
Kifupi kuna vingi sana unajifunza kwa programme za id extra
 
Back
Top Bottom