Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,680
Zipo mkuuMkuu una Gx 110?? Kama unazo ni pm kesho tufanye biashara
Zipo mkuuMkuu una Gx 110?? Kama unazo ni pm kesho tufanye biashara
Mkuu hii nitaichukua week ijayo bado mil 1 na nusu kufikisha bei
Hiyo ishatoka nitakupatia nyengine na hata hiyo pesa ambayo upo nayo tunaweza kupata Noah nzuri nicheki tu 0658124554Mkuu hii nitaichukua week ijayo bado mil 1 na nusu kufikisha bei
Ameensoon na mie nitamiliki chuma kwa uweza wa MUNGU
Mkuu ni kweli hii?Toyota Dayna
Tani3
Bei: Milioni 27
Mawasiliano:0658124554View attachment 896934View attachment 896935View attachment 896937
WiseZenye sifa hizo sina
Ha ha ha ha ha...!Nogopa kunyanyasika sana barabarani mkuu 7A nitafutie cc1760-62
Capacity yake watu wangapi na ni CC ngapi?Nissan Elegrand
Family car
Bei: Milioni 7.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 899452View attachment 899454
Hii ishatoka ila ni gari nzuri ya family ipo Nissan Serena bei milioni 7.5Capacity yake watu wangapi na ni CC ngapi?