Wapenzi wa kweli

ni kweli
cz thr z no love from 1st site
penz umea na kukua..

1st unamtaman mtu kwa nje tu
2nd unaongea nae kujua upstair yake yaliyomo yamo?
mnashare LUGHA?kuna code n chemistry btn u?
3rd unamchunguza yupo SAFE? thats hana mtu/akuna kikwazo?
4th mnaanza sasa apa na pale apa napale mwshowe mnafall kiukweli ...

lakin mimi siamin katika kumpenda mtu kwa style ya shok et nimemwona tu moyo wangu ukapga ppppaaaaaaaaaaaaaaaaa nikampenda apo apo .....ukimkarbia kuongea nae anaongea upupu,maluweluwe,anatukana tu anaongea UGORO in shot unataka kunambia utaendelea kumpenda?

ni kweli mapenz ya kweli hayaji kwa muda mfup...t takes tym.

nawasilisha naenda kupasha kiporo changu mie wali njegere nile nifue karibuni......:love:
 
Mbona mimi na wewe tulipenda ndani ya masaa tu l.o.l
 
cz we r excptional....wateule..AWA WAMATAIFA AWATAWEZA KUPAS STYLE YETU...ptia kndon leo jaman dig dig wewe missng u badly
Me will be coming kino klain halafu baada ya kuja nitafunga njia zote ili wale wengine wasije
 
sijui ni njaa, sijui ni kazi nyingi sijui lbd mie mwenye kilaza tu mbona sijaelewa???????
 
et ivi;mapenz ya kweli hayaji kwa wiki au muda mfup..we wasemaje?
mi nkasema yes ..yanaitaj tyme cz love inastage pia katika kumature mpk kudeclare we r falling now...aya twende kaz shost...
 
Me will be coming kino klain halafu baada ya kuja nitafunga njia zote ili wale wengine wasije

Ok, utafunga njia ila je wale waloko ndani ya kino si ndio mtakua mmewafanaya waje manake watakua hawana pa kwenda since njia zimefungwa?
 
yani hapa unamaanisha i love yu vuu si mapenzi ya kweli?

mbona wapo watu kwenye ndoa za muda mrefu tu lakini walikutana kwa tyle hiyo 'ai lav yu vuu' na wanapendana mwisho..
wacha uongo
 
jamani mtoa mada embu kuwa serious kidogo weka kitu kieleweke au mwisho ungeandika discuss kama kwenye mtihani
 
Back
Top Bottom