Estar Hamisi
Member
- Oct 5, 2012
- 17
- 3
Natafuta kazi, nina elimu ya Diploma ya Secretarial wana jamii wote ninaomba msaada wenu. Asant.
vipi ushapata kazi?? kama bado ni pm!!
kwa nini usimPM wewe..
hii PM kirefu chake ni nini naomba kujua tafadhali
Natafuta kazi, nina elimu ya Diploma ya Secretarial wana jamii wote ninaomba msaada wenu. Asant.