Elections 2010 Wapendwa wa ccm;mkipanda bangi kesho mtavuna bangi;kazi kwenu kesho

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kama tutarajiavyo
kesho ni kesho aliesema keshokutwa mwongo..wapendwa wana ccm tunaomba msituchagulie mafisadi na kuja kulalamika wakiwa bungen..naomba mjue apandae Bangi atavuna Bangi..kama mnamchagua wala rushwa msipige kelele wakiwa madarakani tafadhali

Tunaomba muwe makini sana na mtakaowachagua dhamana hii msije kuijutia hapo baadae kwa sh alfu kumi kumi zilizomwagwa kwa watu wakati wa kampen wakati wa kupiga kura akuna anaekuona unampigia nani tusiangalie vijisent vilivyomwagwa tuangalie watatufanyia nini hawa tunaowachagua.....tunawatakien kila la kheri tulitamani kupiga kura lakini kutokana na ujenzi wa taifa tunasikitika tutakuwa nanyi kiroho

Mungu ibariki CCM Mungu ibariki Tanzania
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tehe tehe tehe sasa ndugu yangu ardhi ya CCM inakubadili bangi tu ndio kilimo cha humo .
Yaani unategemea mazao mengine yana mea huo pole.
 
Ni kweli si haba kuwashauri kabla ya shuguli unajua hawa ndugu zangu wanaaribu alafu wanakuja kupakaana matope watu wakiwa wanakula kuku...ukiuliza wanadai kwani bangi si imeumbwa na mungu ...nani kakwambia mungu kaumba kibaya....duhh haya kazi kwenu ndugu zangun muda mchache na masaa machache tubadilishien wavuta bangi...
 
Back
Top Bottom