wapendwa, angalieni dunia yetu ilipo sasa!!!

Ms Judith

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
2,563
918
298356_10150847376055543_774495542_21062764_1731942376_n.jpg


nilikuwa napita tu kwenye social network moja nikakutana nayo na nikaona nshirikiane nayi.

mbarikiwe sana wapendwa

For I know that my redeemer lives
and at the last,
He will stand upon the earth!!
 
judy jana kulikuwa na mtu anakuulizia humu.....kumbe upo safi sana

juu ya mada yako hii hata hao wadogo (million)kuna watu wanawalilia sana na ndio maana kila kona sasa hivi inatoa misaada kuwasaidia hao watu huko somalia
 
Kuna makubwa zaidi ya hayo,what i don't like ni kuwa kila picha ya watu wanaokufa na kuteseka na njaa ni za mtu mweusi wakati njaa ipo dunia nzima
 
judy jana kulikuwa na mtu anakuulizia humu.....kumbe upo safi sana

juu ya mada yako hii hata hao wadogo (million)kuna watu wanawalilia sana na ndio maana kila kona sasa hivi inatoa misaada kuwasaidia hao watu huko somalia

yeah, mi sijambo kabisa mpendwa. nani tena alikuwa naniulizia?

kama kuna watu wanawalilia na hao milioni moja kwa kiwango walichomlilia huyo mmoja, basi tumshukuru Mungu na tuombe rehema zake bila kukoma wapendwa.

mbarikiwe sana

Glory to God!
 
ndio maajabu ya kiumbe aitwaye binadamu

kweli ni maajabu mpendwa!!

nimesoma maajabu mengine kwenye thread ya BAK eti TCRA imetumia bil 2.2 kusomsha wafanyakazi watatu, hadi sasa kinywa bado kiko wazi!!

Mungu na ashukuriwe
Yeye atupaye sisi kushinda!!
 
katika dunia yetu ya sasa mambo kama haya yapo na kwa nchi zetu za kiafrika wazungu ndio waliotuachia UJINGA,MARADHi na NJAA baada ya kututawala...
 
kufa kufa tu . Kwa mungu hakuna sijui ulikuwa nani duniani, tena maskini akifa mbinguni malaika wanampokea kwa shangwe. Mambo nitofauti kwa viboba.lol
 
dada ulipotea sana kumbe mzima
usishangae sana ya TCRA kuna mengine makubwa zaidi ya hayo utayasikia karibuni

mi nipo tu mpendwa, ni mizunguko fulani tu ndo imenibana kwa sasa, lakini nipo tu mzima wa afya.

hayo ya TCRA kwa kweli nayo wala si madogo. sasa kama kuna makubwa zaidi ya hayo...... jamani jamani jamani!!

Miss judy how are you ?i just like you!

i am fine my dear,

thanks a lot for a lovely message. may the Lord our God be with you in everything. amen!

Glory to God!!

Lakini yeye ashindaye
nitampa kula katika matunda ya mti wa uzima!


 
Miss judy how are you ?i just like you!
Mhh! Nimeshtukia! Nadhani kuna umuhimu kila member wa jf atumie avator ya kike ili apate salam za hivi. Ila huyu ni Mama Mchungaji mtakoma nae! Naona wengine wanatangaza OFFER, mh!!
 
Back
Top Bottom