Wapemba ni wabaguzi?

Zhule

JF-Expert Member
May 22, 2008
356
7
Mdogo wangu anauza viuma chakavu hapa jijini Dar.Mpemba ni miongoni mwa vijana wake wanaopima chuma ofisini kwake. Huyu mpemba alisema, pemba kuna viuma chakavu kibao. mdogo wangu akawapa pesa pamoja na dogo mwingine wa bara wakakusanye viuma kule.
Kufika kule mama mtu (mpemba) kakataa katakata kwamba hajawahi kumwona mtu wa aina ile (mbara) tena mkristo kwaiyo hawezi kuishi kwake.Dogo akaamua kurudi Dar. Hivi pemba hawapo wa bara au wakristo? Hii sentensi yake ya hajawahi kuona mtu wa aina ile ina maana gani? Nimeshindwa kuelewa maake sijabahatika kufika pemba.
 
Usishangae sana watu wale hawajazoea socilization na dini zingine hivyo kwao kujiona wao ni bora si kitu cha kushangaza. Hata mimi nilipokuwa mdogo sikuwahi kuishi karibu na waislam. Sana sana nilisimliwa habari zao tena tofauti na wao walivyo kwa hiyo nilijenga negative atitude kwa waislam. Lakini nilipokwenda secondary na chuo kikuu nilibahatika kuwa na marafiki wa kiislam na nilishangaa kuona kuwa wapo wengi wao ambao ni wastaarabu kuliko hata wakristo wezangu.

So tuzidi kuwaweka karibu ili ili tuzoeane nao
 
NAKUPONGEZA SANA MKUU KWA KUWA MKWELI, MUNGU AZIDI KUKUONGOZA KATIKA HAKI. Takbeeeerr! :welcome:katika dini ya wastaarabu.
 
Upuuzi mtupu...hulka chafu zipo kila pahala hazifanyi kuwa ndiyo sifa ya watu woote, msituletee upuuzi hapa!!
 
ubaguzi ni silka ya baadhi ya watu katika jamii yoyote ile.mimi nimeoa mwislam katika kipindi cha mwanzo cha uchumba wetu nilipata shida sana kwa sababu ya ubaguzi ikafika mahali nikamwambia mchumba tuachane tu kila m2 achukue 50 zake akanishauri tupambane mpaka mwisho.lakini baada ya kunielewa hadi ubatizo wa mke walihuzuria kwa wingi na hapa nilipo najiandaa kuwahi idd ili tujumuike wote.wabilah tawfiq.bwana apewe sifa saaana.
 
Upuuzi mtupu...hulka chafu zipo kila pahala hazifanyi kuwa ndiyo sifa ya watu woote, msituletee upuuzi hapa!!

Mpemba vipi mbona wahamaki? Toa utetezi. Ukihamaki namna hiyo unaudhihirishia umma ya kuwa ninyi Wapemba mna tabia hiyo.
 
Upuuzi mtupu...hulka chafu zipo kila pahala hazifanyi kuwa ndiyo sifa ya watu woote, msituletee upuuzi hapa!!

ni kweli kabisa kama ilivyo kila mmoja kuzaliwa na mfuko wake, hivyo si rahisi tabia ya mtu mmoja kulighalimu kabila zima,
lakini wapo watu wa nmna hiyo pahala pote, lakini nadhani huyo mama amezingatia maagizo ya imani yake ya kiisilamu inayo mtaka kujitenga na wakristo na kutokufanya nao urafiki, kuwaoa, kuolewa, lakini hii imewaathili sana wale ambao wameathiliwa na aya za kitabu bila kuangalia ukweli halisi na kwa kuwa hizi imani tunajifunza kutoka kwa watu waliotutangulia inatubudi kuwa kuwa makini nazo sana, sisi ni watu wamoja tunatofauti ya uelekeo wa kuabudu tu.
 
jamani ubaguzi ni sehemu ya ubinafsi hauna kabila sasa msiwakame wapemba je tumesahau wahaya?
 
Usishangae sana watu wale hawajazoea socilization na dini zingine hivyo kwao kujiona wao ni bora si kitu cha kushangaza. Hata mimi nilipokuwa mdogo sikuwahi kuishi karibu na waislam. Sana sana nilisimliwa habari zao tena tofauti na wao walivyo kwa hiyo nilijenga negative atitude kwa waislam. Lakini nilipokwenda secondary na chuo kikuu nilibahatika kuwa na marafiki wa kiislam na nilishangaa kuona kuwa wapo wengi wao ambao ni wastaarabu kuliko hata wakristo wezangu.

So tuzidi kuwaweka karibu ili ili tuzoeane nao

NIMEKUPENDA SANA kwa majibu haya mazuri,Umenifilisi kabisa nilichotaka kuongea,pemba ni sehemu tofauti kabisa utadhani nchi za kiarabu uislam umeshamiri sana............msameheni huyo mama bure.
 
Upuuzi mtupu katika karne kuna wa kujiona wa maana kuzidi mwingine?Kama wangekuwa wa maana wangeishi katika nyumba za tope mpaka leo?Wana nini cha kujivunia mpaka wawe wabaguzi au hayo masalia ya umanga koko.Wajaribu kwenda uarabuni waone kama nawao ni vile wanavyojihisi au tofauti.
 
Chuki za nini Paka mweupe? Aste aste kijana. Wewe ndio mbaguzi maana umeleta na umanga koko - sasa huo ndio nini kama si ubaguzi kama wa huyo mpemba unaemsema?
 
Back
Top Bottom