Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
kwanini watu wameendeleza hii ibada ya kipagani?

441px-Egypte_louvre_066.jpg


Brahmma, vishnu na Siva wahindi.
s9amrj.jpg


triadhs2.jpg
 
..Concept ya Utatu Mtakatifu Ipo sawa,tatizo ni kwamba walkua wanaabudu nini!!wewe binafsi umeonyesha ni sanamu hapo ndipo kulkua na tatizo sio utatu mtakatifu
wakristo walipata hili suala kutoka kwa wapagani na kuaanza kulitumia. kwenye biblia hili jambo halipo, kuchukua fundisho la kipagani na kulazimisha liwe la kikisto hata kama hautumii Miungu yao ni tatizo.
 
wakristo walipata hili suala kutoka kwa wapagani na kuaanza kulitumia. kwenye biblia hili jambo halipo, kuchukua fundisho la kipagani na kulazimisha liwe la kikisto hata kama hautumii Miungu yao ni tatizo.
..Ukisema MUNGU its already the Holy trinity kwaio kutoka mwanzo utatu mtakatifu ulikuepo,wapagani ndo wakaDraw concept hio hapa na kuanza kuitumia visivyo
 
..Ni kama maji,ukigandisha utaita barafu,ukichemsha Yakayeyuka utaita mvuke(vapour),Yakiwa kawaida ni Maji but ni kitu Kile Kile
Ally, Josef na Maryamu ni mtu mmoja mwenye sura tofauti au siyo??? We jamaa bwana. Wote watatu kuwa wanadamu haiwafanyi kuwa ni mmoja. Mkuu Mwenyezi MUNGU ni mmoja tu. Kama unasema ana nafsi tatu basi leta andiko linalokusapoti maneno yako. Nionavyo mm ni kuwa concept ya utatu ilibuniwa ili kuifanya dini ikubaliwe na wapagani wa kirumi. Kama unabisha leta aya inayoeleza kuwa Mungu ana nafsi tatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom