Wanywa pombe kali tujiandae huenda tuna saratani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,825
Wale tunaopenda kunywa pombe Kali Kali kuanzia konyagi, k vant Zed highlife Bushmen vodka, kitoko, blue, robot, shimwa waragi, ambiance spirit, diamond rock , valeur, gongo n.k tuwe makini Sana isije kuwa tuna kansa ya ini au matatizo ya Figo au matatizo kwenye afya ya uzazi.

Tuwe macho tukubaliane na lolote litakalotokea mbele yetu kama ni kifo au kuumwa maradhi Kama bawasili, pressure,.n.k maana mwana kulitafuta mwana kulipata si tumekataa kuacha hizi pombe?
 
Wale tunaopenda kunywa pombe Kali Kali kuanzia konyagi,k vant Zed highlife Bushmen vodka,kitoko, blue, robot, shimwa waragi, ambiance spirit, diamond rock ,valeur,gongo n.k tuwe makini Sana isije kuwa tuna kansa ya ini au matatizo ya Figo au matatizo kwenye afya ya uzazi.tuwe macho tukubaliane na lolote litakalotokea mbele yetu kama Ni kifo au kuumwa maradhi Kama bawasili, pressure,.n.k maana mwana kulitafuta mwana kulipata si tumekataa kuacha hizi pombe??
"Sikiliza wewe, sisi ndio wataalam"
 
Acha vitisho vya kilokole, kwani wasio kunywa hizo pombe hawafi!? Au wachungaji na mashehe hawafi kwa kansa!? Kwa taarifa yako Kifo kipo palepale, hizo ni njia na sababu za kuondokea tu.

Halafu ujue wafanyibiashara wa hivi vileo wanalipa kodi serikalini tofauti na wamiliki wa makanisa wasio lipa kodi, hivyo ukiendelea na hii kampeni yako tutakushtaki kwa kula njama ya kuikosesha mapato serikali yetu tukufu😁
 
Acha vitisho vya kilokole, kwani wasio kunywa hizo pombe hawafi!? Au wachungaji na mashehe hawafi kwa kansa!? Kwa taarifa yako Kifo kipo palepale, hizo ni njia na sababu za kuondokea tu. Halafu ujue wafanyibiashara wa hivi vileo wanalipa kodi serikalini tofauti na wamiliki wa makanisa wasio lipa kodi, hivyo ukiendelea na hii kampeni yako tutakushtaki kwa kula njama ya kuikosesha mapato serikali yetu tukufu😁
Kuna mwenyekiti wa mtaa kala kipigo cha mbwa koko baada ya kuvamia baa na kujaribu kuzuia watu wasinywe bia mchana 😁😁😁
 
Ngoja Waje wanywaji wa pombe kali waje kutuo ushuhuda na experience yao ya kunywa vitu vigumu.
 
Kama ni hivo Mwakyembe angekuwa amekufa maana anakunywa sana konyagi yule jamaa
 
Back
Top Bottom