Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 148
Imebidi niulize wanajamvi, manake juzi nimekutana na msichana wa tatu wa kinyarwanda naye pia anadai ni bikira baada ya wawili wa kwanza kudai kitu hichohicho. Je ni kweli kuwa wasichana wengi wa kinyarwanda huwa wanakaa na bikira zao hadi waolewe au wanataka kutuingiza mjini tu wabongo??
Wenye maujuzi zaidi uwanja ni wenu..................
Wenye maujuzi zaidi uwanja ni wenu..................