Wanyamwezi

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
bha'aabhoooo...karibuni,
zya nsiko...habari za siku,
mwee wapanga...hamjambo?,
mwangaloka...habari za asubuhi,
wa kukaya...wa nyumbani,
kalibhu halugo...karibu nyumbani,
kalibhu hakaaya...karibu nyumbani
Ikingilima...day-break/alfajiri na mapema
Mkweela...shemeji/wifi
Yaayo/nina...mama,
natoolile...nimeshaoa,
Tujaage...twende
Le kasheshe...aina ya mzigo/shehena nzito (zaidi huwa mazao) ifungwayo na kuendeshwa kwa baiskeli tena kwa taabu sana,
Igosha lya kapanga...MWANAUME WA SHOKA.

Wadau nawasilisha semo za lugha adhimu ya unyanyembe...nyamwezi land.
 
hizo ni semi za kinyamwezi, tujifunze/tutambue lugha za makabila yetu ya Tanzania kwani ipo siku tukatembelea vijijini wasipojua kiswahili hivyo ituwie rahisi kimawasiliano.
 
Back
Top Bottom