Wangoni na wamatengo waogopeni


Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?
Asanteeeeeeeeee.
Wewe jamaa upo sahihi 100%. Imenikuta hyo,nimemsaliti demu wa kingoni.. Aiseee!! Nimejuta,kanidhalilisha,kanitia aibu haswa.. Kaja kwangu bila kitu chochote lakini nilishangaa familia yao ilipodai kuwa amechuma kila kitu na mimi,mara ananidai milioni 1,mara wakaanza kupiga simu upande ulionifanya nimwache kuwa wasimruhusu bint awe na mimi kwa 7bu bado hatujagawana mali. Nilifadhaika sana,tena sana! Wangoni watu wabaya sana! Wafupi lakin wana visasa vya kinyama,hawakubali yaishe hv hv,nahc wanaweza hata kukuroga uzazi wale!
S

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom