Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
- Thread starter
- #21
Ina maana hujawahi kuota usiku ukimegwa na njemba?
huwa wanaota sana sema wanaona soo kusema
Ina maana hujawahi kuota usiku ukimegwa na njemba?
huwa wanaota sana sema wanaona soo kusema
Ur generalisation is amazing!
I have never. Hebu tupe uzoefu ulio nao wa wanawake ku......gwa.
Huwa mnaota bwanaa
Ur generalisation is amazing!
I have never. Hebu tupe uzoefu ulio nao wa wanawake ku......gwa.
Ur generalisation is amazing!
I have never. Hebu tupe uzoefu ulio nao wa wanawake ku......gwa.
Jamani simnajua Characteristics za mbegu X na Y? nikuwa X huwa zinaenda polepole lakini zinadumu hata masaa 48 kabla hazijakutana na yai wakati Y huwa zina kasi lakini zinakufa haraka hivyo ukiplay siku ya kilele (Ovulation day) Y zitakimbia na kulikuta yai kuovulate hapo mtoto wa kiume na kama utaplay masaa 48 mpaka 24 nyuma ya siku ya kilele basi X zitabaki zikiishi wakati Y zitakuwa zimeshakufa hapo mtoto wa kike.hebu angalia hata Premature wawili mmoja wa kiume na mwingine wa kike yupi huwa ana uwezekano wa kupona zaidi? ni wakike.
Labda wapo wanaoota wakakusimulia... kwa vile mimi sijui, ndio naomba utufahamishe.
Tatizo lipo kwenye jinsi ya kutambua kwa uhakika siku ya ovulation.
Utakuwa umesahau...labda au hujui kama ndio umeota hivyo..ukafikiri ni joto tu la usiku....lakini normal and avarage women anapata...nyakati za usiku.....utamisikia akijinyonga kama vile anamezwa na chatu...aki scratch mapaja yake...
Hizo ni tips tu za what happen..na ukija jicheck au kwa wale ambao tumeshawahi waangalia utakuwa amekuwa wet kiasi cha kutosha...
wajameni naomba kuuliza jinsi ya kupata watoto mapacha wa jinsia tofauti ntawapata vipi? naombeni formular
Kanisa katoliki huwa linaaandaa semina maalumu kwa ajili ya wachumba kabla ya kufunga ndoa na moja wapo ya mada ni siku gani na wakati gani mwanamke anaweza kupata mimba. as Dr shayo ambavyo anachambua na kutaja majina ya via vya uzazi bila kificho.
nilirudi kwenye mada
wanawake wapo katika siku au mzungunguko ufuatao
1: siku 21
2: siku 28
3: siku 30
4: siku 34
5: na kuendelea kuna wengine wanaenda kila baada ya siku arobaini na wengine wanaenda kila baada ya siku kumi na nane na kadhalika
hivyo basi kila mwanamke ana jinsi yake ya kupata mimba
1: MWENYE SIKU 21
JINSI YA KUHESABU HAPA NI KWAMBA : yai huchukua siku kumi na nne kutoka mara baada ya kukosa virutubisho. hivyo hesabu kuanzia siku ya kwanza aliyoanza kubleed mpaka siku ya 6,7,8
hivyo basi kwa mwanamke huyu siku za kupata mimba ni siku ya 6, 7 na 8 ukikosa hapo ndo basi hadi usubili mwezi mwingine
2: MWENYE SIKU 28
hesabu kuanzia siku aliyoanza kubleed na ukifika siku ya 13,14, 15 hizi ndio siku zake za kupata mimba.
3: MWENYE SIKU 30
SIKU ZAKE NI 15,16, NA 17
NI MIMI
NZI MCHANA USIKU MBU HAKUNA KULALA
Kwanza la kupaswa kujua ni kwamba, kuna watu wana mizunguko tofauti, 21, 28 na mizunguko mirefu more days than that. Natumain nikisema hvyo mnanipata, 2chukulie 28 ambayo ni ya wengi, kwa hapa wanakuambia kuwa cku ya 14 from siku ya kwanza kuona tone la kwanza ktk huo mwezi, kama mzunguko wako haujavurugika, ndiyo cku ya KUPEVUKA KWA YAI OVULATION kwa lugha ya weupe, na watu wengi wamekariri kuwa ukiduu cku iyo ndo utapata mimba, mnapinga tena sana. Kuanzia cku ya KUMI bHata mie tatizo langu kubwa liko hapo.Na ninacho taka hasa is the theory behind.
Nilipokuwa nasoma,tulikuwa tunasema ovulation inatokea siku ya kumi na nne toka kuanza kwa bleeding.
Kunguru mweupe akasema NO,ni siku ya kumi na tano ukianza kuhesabu siku moja kabla ya kuanza kubleed tena.Hii ya pili inajitahidi kujibu maswali mengi.
Mwingine leo anasema unahesabu siku 7 baada ya kumaliza kubleed ndo mtu ana ovulate.
Mimi ninachouliza kinachoangaliwa hapa ni nini mpaka watu wakaja na theory hizi.
Kwa mfano,mtu atoe sababu za kuisayansi kwa nini tuhesabu siku 15 tokea mwisho,au 14 tokea mwanzo wa cycle,au siku saba baada ya kumaliza kubleed ndo tuipate siku anayo ovulate.
Please kwa anaejua.
Kwanza la kupaswa kujua ni kwamba, kuna watu wana mizunguko tofauti, 21, 28 na mizunguko mirefu more days than that. Natumain nikisema hvyo mnanipata, 2chukulie 28 ambayo ni ya wengi, kwa hapa wanakuambia kuwa cku ya 14 from siku ya kwanza kuona tone la kwanza ktk huo mwezi, kama mzunguko wako haujavurugika, ndiyo cku ya KUPEVUKA KWA YAI OVULATION kwa lugha ya weupe, na watu wengi wamekariri kuwa ukiduu cku iyo ndo utapata mimba, mnaping tena sana. Kuanzia cku ya KUMIHata mie tatizo langu kubwa liko hapo.Na ninacho taka hasa is the theory behind.