Wanawake/Wasichana tuwe makini sana

Mrsme

Senior Member
May 8, 2022
145
344
Habari za leo wana JF, natumaini mko mzima wa afya. Okay, naomba nishare na nyie hiki kitu kwa wanawake na wanaume pia.

Hii story nimeisikia jana kwa mtu lakini imenisikitisha na kunihuzunisha sana, sidhani kama kuna mtu atakua kakutana nayo mahali, anyways niko 50/50 na hii story #chai si chai .

Kuna mwanadada alitoka out na Ex wake ambae inasemekana chanzo cha kuachana kwao mwanamke alicheat lakini wakaja kuweka vitu sawa hadi wakakubaliana kutoka out. Lakini ile out imebadilika kuwa janga kubwa sana ambalo linamtesa huyo Dada psychological na hata physical. Kwa maelezo ya huyo Dada anasema hiyo siku alilewa sana na anachokumbuka ni kwamba yule mwanaume alimwambia wakapumzike na anakumbuka walipofika ndani ni kwamba alishikwa kiuno na yeye akamshika huyo kaka mabegani.

Lakini alipokuja kuja kuamka asubuhi alijikuta mwenywe chumbani na alikua anamaumivu makali sana kwenye maumbile yake yotee yaani mbele na nyuma, na pia mashuka yalikua yametapakaa sana kinyesi cha binadamu. Kwa wakati huo hakuweza kuamka na kutembea lakini kwakua muda ulikua umefika wa kukabidhi chumba ndipo mhudumu wa hapo alipokuja na kuingia na kumkuta Dada huyo akiwa na hali mbaya.sijui hatua gani zilichukuliwa za kisheria kwa wakati huo lakini alifanikiwa kupelekwa hospita na ikabidi maumbile yake ya nyuma yashonwe maana yalikua yameharibika as well as maumbile ya mbele yaliharibika maana alikutwa na condom zimesokomezwa ndani , hivo kizazi kikaonekana kimeharibika hivo hatoweza kuwa Mama tena.

Baada ya matibabu ikabidi dada aanze kumtafuta yule kaka, na alikua akimpigia lakini ikaonekana kama ameblockiwa hivi, lakini alijaribu kutumia simu ya rafiki ake na kumpigia ila iliita tuu na haikupokelewa, baadae kidogo alipiga mwenywe kwenye ile namba ya rafiki wa huyo Dada na aliposikia sauti ya yue dada akamcheka sana na kumwambia "wewe si unajifanya mjanja sana" akamwambia ingia whatsapp utakuta matukio yako ya jana, Dada wa watu kuingia anakutana na video zake nying sana za kumdharirisha na ni kwamba yule kaka hakua peke ake alikua na wenzei kwa idadi inayosemekana 8 , sasa sijui hao nane waliingiaje kwenye hiyo lodge .

moja ya vitu alivofanyiwa huyu msichana ni kwamba walikua wanazamisha mikono yao kwenye maumbile yake, na walikua wakimtomba kwenye maumbile yote kwa zamu zamu na wakati mwingine kwa mara moja, yaan moja mbele nyingine nyuma na nyingine mdomo, sometimes zinaingia mbili kwa pamoja, na kumkojolea mdomoni akiambiwa ameze na yeye anameza, yani ulikua ni uchafu na unyama kabisa. Na pia alimtishia kuwa atakapoenda polisi basi video hizo atavujisha.

Kwa maelezo ya huyo dada anasema anataka kujiua maana akienda polisi video hizo zitamdharirisha sana kwa familia na hata marafiki hivo hatoweza kuishi kwa amani. Funzo hili hata kama ni chai , wanawake tuwe makini kwa ex's na hata watu ambao wanatufatilia kwa muda mrefu tukawakubali tukihisi wanatupenda, hao watu wanaweza kuwa na mipango yao ya kukukomoa ww na kukunyima furaha ya maisha tena, tujitahidi sana kuwa makini, lakini pia wanaume kuweni na huruma haijarishi mtu alikuumiza/kukusumbua kiasi gani , lakini hii sio fair revenge kabisaaa. Na hii pia ni kwa pande zote maana hata sisi wanawake tunaweza kufanya ukatili wa hivo so tujitahd sana kuzuia malipizi kama haya.

Ila ingekua mimi n huyu Dada ningejiua pale nimehakikisha namkata uboo huyu kaka au namuua kabisaa.

NIMENUKUU KAMA ILIVO
 
Habari za leo wana JF, natumaini mko mzima wa afya. Okay, naomba nishare na nyie hiki kitu kwa wanawake na wanaume pia.
Hii story nimeisikia jana kwa mtu lakini imenisikitisha na kunihuzunisha sana, sidhani kama kuna mtu atakua kakutana nayo mahali, anyways niko 50/50 na hii story #chai si chai .
Tukio la huyo ex ni la kinyama na kukemewa.

Ila pia upande wa pili wa dada, Tatizo pombee na vilevi. vilevi kwenu wadada sio kabisa.

Mwanamke unaenda kunywa mpaka unalewa kiasi icho, cha kupelekwa popote tu.
 
Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
 
punguza hasira
 
Bado haitasaidia kumaliza dhihaka na machungu utakayopata, yaani hakuna udhalilishaji mkubwa duniani kama huu, huwezi kuja kukaa sawa katika maisha yako yote japo binadamu tuna hulka ya kusahau.
 
Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...

ndo ulile hela za wanaume bure bure
 
Hii itakuwa ni chai, timeline haijakaa sawa...

....aliposikia sauti ya yue dada akamcheka sana na kumwambia "wewe si unajifanya mjanja sana" akamwambia ingia whatsapp utakuta matukio yako ya jana

Kafanyiwa ushenzi wote huo jana kiasi akawa hajitambui, kapelekwa hospitali na kufanyiwa vipimo vilivyoonesha hawezi kuzaa tena, karecover na kuanza kupiga simu n.k n.k vyote hivi ni katika muda wa jana na leo 😇😇
 
Back
Top Bottom