Wanawake wanataka mambo 50/50 lakini Kichwa cha nyumba atabaki kuwa Mwanaume tu

deejaywillzz

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
637
224
Wanawake wamekuwa wakilia gender balance hadi nyumbani, sasa wanataka nyumba na yeye awe anasauti kama mwanaume. Ukweli utabakia kuwa Mwanaume ndio kichwa cha nyumba.

Mbona mtoto akifanya kosa mnasema, ntamwambia baba yako akirudi kazini
 
Sio kila mwanaume ni kichwa cha nyumba,nyumba nyingine mwanamke ndo kichwa!!!

Mwanaume mwingine ni mwanaume suruali hana msaada wowote kwa familia,hata mfuko wa chumvi, wala penseli ya mtoto hajui kununua,ye ni kula kulala kama mototo mchanga,hapo utasemaje ye ni kichwa cha nyumba??

Kama mwanamke ndo anaiwezesha familia kwa kila kitu kwa nini yeye ndo tusimwite kichwa cha nyumba ikiwa majukumu yake na ya baba kayabeba yeye kwanini asipewe heshima ya kichwa cha familia???

Kama mwanaume anawajibika kwa familia yake na anatimiza wajibu wake kwa nini yeye asipewe heshima ya Kuwa kichwa cha nyumba???,hapo ukichwa cha nyumba utakuja wenyewe kwani hata mwanamke atakuheshimu!

Mama kusema ntasema kwa baba haimaanishi anakwambia SBB wewe ni kichwa cha familia la hasha!!anasema hivyo SBB we ni mzazi mwenzie na jukumu la kulea ni la baba na mama,upo hapo.

Wanaume badilikeni mjue wajibu wenu kwa familia zenu,muone kama wanawake watajifanya vichwa ndani ya nyumba!!!
 
Unapoteza muda wako bure kujibu hoja za watoto waliozaliwa miaka ya 90. Ukisoma kwa makini bandiko lake, utagundua kwamba hana familia.

Sio kila mwanaume ni kichwa cha nyumba,nyumba nyingine mwanamke ndo kichwa!!!

Mwanaume mwingine ni mwanaume suruali hana msaada wowote kwa familia,hata mfuko wa chumvi, wala penseli ya mtoto hajui kununua,ye ni kula kulala kama mototo mchanga,hapo utasemaje ye ni kichwa cha nyumba??

Kama mwanamke ndo anaiwezesha familia kwa kila kitu kwa nini yeye ndo tusimwite kichwa cha nyumba ikiwa majukumu yake na ya baba kayabeba yeye kwanini asipewe heshima ya kichwa cha familia???

Kama mwanaume anawajibika kwa familia yake na anatimiza wajibu wake kwa nini yeye asipewe heshima ya Kuwa kichwa cha nyumba???,hapo ukichwa cha nyumba utakuja wenyewe kwani hata mwanamke atakuheshimu!

Mama kusema ntasema kwa baba haimaanishi anakwambia SBB wewe ni kichwa cha familia la hasha!!anasema hivyo SBB we ni mzazi mwenzie na jukumu la kulea ni la baba na mama,upo hapo.

Wanaume badilikeni mjue wajibu wenu kwa familia zenu,muone kama wanawake watajifanya vichwa ndani ya nyumba!!!

Mwanamme asiyejua majukumu yake ang'ang'ane kupata heshima.Kwa kweli hata mungu wangu mi shahidi,Huo ndio unafiki nisioweza kujifanyisha kumheshimu.

As a man he must be a leader
 
Wanawake wamekuwa wakilia gender balance hadi nyumbani, sasa wanataka nyumba na yeye awe anasauti kama mwanaume. Ukweli utabakia kuwa Mwanaume ndio kichwa cha nyumba.

Mbona mtoto akifanya kosa mnasema, ntamwambia baba yako akirudi kazini

Kichwa Cha nyumba ni fyedha, hakuna cha baba wala takataka ya baba, mwenye fedha ndio Kichwa cha Nyumba!
 
Mwanaume ni kichwa cha nyumba kwa sababu ana vichwa viwili kimoja kikiosa kazi ndio wanawake wanapotaka na kulilia kuwa kichwa wakati anatumia kichwa kimoja kufanya maamuzi tofauti n mwanaume ukiona mkeo anataka haki sawa tambua kichwa kimoja hakifanyi kazi kwa ufasaha
 
Usawa baina ya mwanamke na mwanamme hautakuwepo mpaka pale mwanaume atakapoanza kuziona siku zake....na mwanamke atakapo weza kumpa mimba mwanamke mwenzie....otherwise hakuna usawa baina ya mwanamke na mwanaume....
 
Wanawake wamekuwa wakilia gender balance hadi nyumbani, sasa wanataka nyumba na yeye awe anasauti kama mwanaume. Ukweli utabakia kuwa Mwanaume ndio kichwa cha nyumba.

Mbona mtoto akifanya kosa mnasema, ntamwambia baba yako akirudi kazini

Wanaume gani kwanza unaongelea..........?.......maana kuna aina nyingi za wanaume siku hizi.........sijui wewe upo kundi gani........
 
hata mama mwenye nyumba pia yupo..
Huu semi unaendana na watu walio oa ambao ni mke na mme, kwahiyo mtu anapokuja kuuliza au kunapokuwa jambo lolote zito lazima atauliziwa Baba mwenye nyumba haiwezekani hata siku moja kuuliziwa Mama mwenye nyumba yupo?

Kwahiyo kutokana na uzito au kusisitizia uzito hata siku moja hata uwe na magari 20 yadi hautouliziwa Baba mwenye gari/magari yupo? badala yake watamuulizia Baba mwenye nyumba yupo?

Kwahiyo heshima inabaki pale pale HAKUNA BABA MWENYE GARI KUNA BABA MWENYE NYUMBA TU
 
Back
Top Bottom