Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

Habari! I has stayed with my wife more than 10 year but now she changed a lot. Unajua nimekaa kajiuliza na kumchunguza nimegundua ana uhusiano na mwanaume mwingine. Hivyo amekuwa kiburi jeuri hana heshima. Kuna siku nilisafiri nje ya nchi for 2wks hizo wk nilijua yupo danger zone siku 7 ndani yake. Nakarudi nikamwambia tupime pregnancy amekataa maana anajua ujinga aliofanya hivyo alitaka kunibambikizia uzuri nilijua before. Je mwanamke kama huyo akiachwa atasema wanaume Wabaya? Tatizo la wanawake akipenda sehemu anajitoa mazima moyo wote! Hivyo nyumbani heshima inapotea, sisi wanaume hata kama tunachepuka nyumbani heshima kubwa. Leo mtu anapingwa chini maisha yasonge. Life's too short let us enjoy.

Wewe bhana, huyo keshakutoa moyoni, wewe Demu analala na Mwanaume mwingine halafu bado unauliza ushauri? Hana emotional attachement na wewe bali yuko kwingine, achana naye kwani huwezi kumfanya akupende kama keshashiti hata ufanyeje!
 
Acha kama una ubavu.
Watu wengine wakinywa tu balimi 2,3 wanajifanya na maamuzi magumu..ikifika kesho na tena ni meimosi lazima ushinde ndani ucheze nae kidali poo.
 
Habari! I has stayed with my wife more than 10 year but now she changed a lot. Unajua nimekaa kajiuliza na kumchunguza nimegundua ana uhusiano na mwanaume mwingine. Hivyo amekuwa kiburi jeuri hana heshima. Kuna siku nilisafiri nje ya nchi for 2wks hizo wk nilijua yupo danger zone siku 7 ndani yake. Nakarudi nikamwambia tupime pregnancy amekataa maana anajua ujinga aliofanya hivyo alitaka kunibambikizia uzuri nilijua before. Je mwanamke kama huyo akiachwa atasema wanaume Wabaya? Tatizo la wanawake akipenda sehemu anajitoa mazima moyo wote! Hivyo nyumbani heshima inapotea, sisi wanaume hata kama tunachepuka nyumbani heshima kubwa. Leo mtu anapingwa chini maisha yasonge. Life's too short let us enjoy.

As long as you are not clean ...... mim naona kumuacha sio maamuzi sahihi !!!miaka kumi ndani ya ndoa sio mchezo atiii kuna kuchokana etc .....kaa chini na mwenzio mkanye tabia yake ajirekebishe mpe warning ya hatari hatari .
Fikiria familia fikiria watoto wako mnachana afu watoto waanzane kutapa tapa ,Jaribu kuongea na mwenzio kwanza ikishindikana ndo ufanye maamuzi magumu ...... Ndoa sio lelemama
 
People tend to change over timeOTE="I am Bless, post: 26913930, member: 444916"]Kwangu Mimi ili nisikutane na upuuzi ulio mkuta Mkuu, mwanamke had nimkubali bas ujue nimemchunguza na nimegundua ana hofu ya Mungu ya hali ya juu,

Ushauri wangu vijana ukimuona binti usimkurupukie tu ovyo baada tu ya kuvutiwa na muonekano wa nje, hofu ya Mungu papoja na tabia njema, ivyo vingine complications,[/QUOTE]
Peo
 
Wanaume wa Daslam mnapenda sana kulalamika, I don't know why....
Ebu fanya maamuzi ya kiume mkuu, na kama ushahidi unao.... Hakuna haja ya kuomba ushauri hapa.
Labda kama unahitaji kuhurumiwa na wadada wa humu, basi sawa...
 
Haya mambo ya ndoa huwa yana siri kubwa sana na hizo siri nyingi hutunzwa na wanawake vifuani mwao......

Kimsingi ni kwamba siku hizi ndoa nyingi hufungwa kwa interest na sio kwa upendo wa dhati kutoka moyoni kabisa....ni wanawake wachache sana wanaowapenda waume zao kutoka moyoni isipokuwa wengi wanaolewa kwa kutokana hali ngumu ya maisha yasiyokuwa na muelekeo...ndio maana siku hizi ndoa nyingi zimejaa usaliti....
Tabu inaanza pale wanapokutana na wale ambao ni hitaji la moyo....na ndio maana wanawake wengi wanashindwa kabisa kujizuia kwa kuwa hapo ndipo mioyo yao ilipolala.......

Wanawake wakipata mtu wa nje hubadilika kweli kwa kuwa mwanamke ndio mwenye mapenzi ya dhati kutoka moyoni na hawezi kupretend......

Wanaume wengi wanafunga ndoa na watu wanao watumia bila ya wao kujua au muda mwingine huwa wanajua alafu wanapuuzia......

Mwanamke aliyekupenda kamwe hawezi kukusaliti na daima atakuwa mwaminifu kwako
 
Mambo ya ndoa huwa yana mambo mengi sana lakini bahati mbaya yanapokuja kuharibika huwa tu nasikia Habari za upande mmoja tu huku kila mmoja akivutia upande wake......

Nimekumbuka Habari ya bwana mmoja aliyekuwa na mgogoro na mke wake kila kukicha.....huku yule bwana akimtuhumu mke wake kutoka nje ya ndoa yao na mwanaume mwingine......baadae kuja kugundua ni kuwa yule bwnaa alitumia nguvu ya wazazi tu kumuoa yule bibie na kipato chake lakini si kwa mapenzi ya yule bibie.....Sasa katika hali kama hiyo mwanamke ataachaje kutoka nje ya ndoa....

Jambo lingine ambalo wanaume tunalidharau kwenye ndoa ni sex na romantic words.....haya mambo wanawake huwa wanayapa uzito sana kwani huwa fanya wajione kuwa ni wenye thamani.....

Wanawake sex wanaipa nafasi kubwa sana kwenye mahusiano kinyume chake ni kuwa sisi wanaume mwanamke akishakuwa ndani hili jambo huwa tunalipuuzia sana na kama tunalifanya basi huwa ni chini ya kiwango kabisa......huu ni ukweli ambao wanaume hawawezi kuukiri hadharani lakini iko hivyo kwenye ndoa nyingi sana......

NB;
Migogoro ya ndoa huwa inaanzia mbali sana
 
Kwangu Mimi ili nisikutane na upuuzi ulio mkuta Mkuu, mwanamke had nimkubali bas ujue nimemchunguza na nimegundua ana hofu ya Mungu ya hali ya juu,

Ushauri wangu vijana ukimuona binti usimkurupukie tu ovyo baada tu ya kuvutiwa na muonekano wa nje, hofu ya Mungu papoja na tabia njema, ivyo vingine complications,
Jidanganye tu
 
As long as you are not clean ...... mim naona kumuacha sio maamuzi sahihi !!!miaka kumi ndani ya ndoa sio mchezo atiii kuna kuchokana etc .....kaa chini na mwenzio mkanye tabia yake ajirekebishe mpe warning ya hatari hatari .
Fikiria familia fikiria watoto wako mnachana afu watoto waanzane kutapa tapa ,Jaribu kuongea na mwenzio kwanza ikishindikana ndo ufanye maamuzi magumu ...... Ndoa sio lelemama
Ni rahisi kumshauri mtu kama halijawahi kukutokea lakutokea
 
Haya mambo ya ndoa huwa yana siri kubwa sana na hizo siri nyingi hutunzwa na wanawake vifuani mwao......

Kimsingi ni kwamba siku hizi ndoa nyingi hufungwa kwa interest na sio kwa upendo wa dhati kutoka moyoni kabisa....ni wanawake wachache sana wanaowapenda waume zao kutoka moyoni isipokuwa wengi wanaolewa kwa kutokana hali ngumu ya maisha yasiyokuwa na muelekeo...ndio maana siku hizi ndoa nyingi zimejaa usaliti....
Tabu inaanza pale wanapokutana na wale ambao ni hitaji la moyo....na ndio maana wanawake wengi wanashindwa kabisa kujizuia kwa kuwa hapo ndipo mioyo yao ilipolala.......

Wanawake wakipata mtu wa nje hubadilika kweli kwa kuwa mwanamke ndio mwenye mapenzi ya dhati kutoka moyoni na hawezi kupretend......

Wanaume wengi wanafunga ndoa na watu wanao watumia bila ya wao kujua au muda mwingine huwa wanajua alafu wanapuuzia......

Mwanamke aliyekupenda kamwe hawezi kukusaliti na daima atakuwa mwaminifu kwako
Sio kweli
 
Back
Top Bottom