Wanawake wamepewa silaha kubwa Sana lakini wengi wao hawatumii

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,584
18,915
Habari wanajf

Unajua Mungu kamuumba Mwanamke nakawaekea silaha kubwa sana, Mwanamke akitumia hizo silaha anaweza kuwin moyo wa mwanaume kirahisi kabisa na Mwanaume kumtii yeye huna haja hata ya kwenda kwa mganga wakati mganga ni wewe mwenyewe.

Nyinyi wanawake mna nguvu kubwa kuliko hata sisi Wanaume sijui mnakwama wapi? Ngoja niwape mfano halisi kuna manzi mmoja wa kislamu nilimtamani alikuwa ana tako na yupo vizuri kifuani lakini alikuwa wakawaida usoni nilitaka tu nipige tu alafu nisepe lakini baada ya kufanikiwa kumgonga nilijikuta nabadilisha mtazamo au malengo yule manzi alikuwa vizuri Sana on bed kiasi ambacho ukishamgonga utamani Tena kufanya sex wiki mbili, ukishamaliza kufanya nae sex aondoki ghetto bila kusafisha au kufanya usafi na akuombi hela sometime mimi tu najiongeza nampa wakati mwingine hanakataa nikajikuta ninampenda sio Tena kumtamani na yeye alinipenda Sana, ukimwita ghetto hana complicated anakuja tu sex anakupa bila tatizo na hakuombi nauli ya kuja.

Huyu manzi alikuwa ni mzaramo na nimuongeaji Sana akiwa nje uko lakini akiwa nami ni sawa na mkate kwenye chai mpaka nashangaa Sana marafiki zangu walikuwa wananiambia kwanini unakuwa na demu muongeaji kwa huyo lakini walikuwa hawajui huyu manzi akiwa nami anakuaje sijui wanakuwaga wanafundwaga.

Katika mademu niliwahi kudate nao huyu pekee yake alikuwa wa kawaida yaani si mzuri lakini moja ya manzi Nilimpenda mno kwangu alikuwa namuona kama kim kardashian au Rihanna na uniambii kitu kwake na ni mmoja Kati ya dsmu niliyemuhudumia Sana ingawa alikuwa aniombi pesa.

Huyu manzi ni Kati ya Wanawake wachache wanaojua kutumia silaha niliokuwa nazungumzia kwa wale walikuwa wameshindwa kuelewa kwenye mfano wangu halisi ni hizi

✓Sex, mwanaume ukimpa uhuru kwenye Hili eneo ukawa unampa akiwa anataka utaweza kumcontrol vizuri

✓Heshima na utii, ukiwa na hivi utapendwa Sana na mwanaume

✓Smart kichwani, ukiwa na mawazo mazuri ya kumpa mwanaume atakujali na atakuthamini

✓Mvumilivu, kuweza kuvumilia kwenye nyakati ngumu mnazopitia mwanaume atakuconsider kama wife material wake

✓Upendo, Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye upendo wa dhati si wale ambao wapo after money wale ambao wapo after money watawatumia kingono watakuja kuoa wengine wenye upendo wa dhati.

NB: Wale wanawake wanaojua kutumia uwanawake wao vizuri siku zote hawatumii nguvu unakuta tu wanawin Wanaume mpaka inafika hatua Wanachorwa kwenye tattoo na wanaume wao.Ukikuta mwanamke analalamika mwanaume wake ni mbahili hamuhudumii ujue huyo mwanamke yupo kwenye kundi ambalo hawatumii silaha hata kama unampango wakuwa nae jihoji Mara mbili mbili.

QueenDeby
Lovelovie
lovel
DeepPond
Yna2
joseph1989
 
Ku-date ndo kwa kiinglishi kozi sio, kwa kizaramo ni.....?

Si waswahili tunaanzisha mahusiano ya kingono tu, dating waachie akina Biden huko!
 
Huwezi kumpima mwanamke kwa kufanya usafi au kutoa utamu au kutoomba hela . Kama unataka kufanyiwa usafi gheto weka maid, wanawake wote wa mjini wanatoa mautamu tena yote na hawakuombi hela kwa haraka, utakuja kupewa in invoice ya kikubwa ndiyo utakuja kujua haujui. Unaingizwa kwenye kumi na nane.
 
story imeisha au bado inaendelea? maana pamoja na kumsifia kote naona bado anaitwa demu tu, bora angekaa nyumbani ale maharage yake alale. namuonea huruma binadamu anayehangaika kupata kibali cha binadamu mwenzie
 
Mnaelewekaga sasa, pamoja na kumsifia kote huko ukute hutamuoa utakuja oa mwingine ambae hana sifa hata moja ya ulizotaja hapo.
 
Msituchoshe kikao tulichokubaliana kama hakuna hela no real love unataka nikuhudumie kama mume na huku kichwani unawaza kunitumia na kuniacha,na mda huohuo najua uko na Hamida,Rose,witness,Latifah,halafu nije nijitie ujuaji eti nikuwin kukuwin which yaani
 
Kuna mtoto wa mama mkwe dah, ewe Mungu siku huyu kaka akiingia kwenye 18 zangu hatatoka na siku hiyo Mungu nitatoa zaka mara mbili. Amina
 
Hapa nipo sebulen.. Nna watch.. Nmetoka chumban kwa hasira.. Nmesusa. Mke anabana sana mzigo. Hata akinipa siridhiki. Hajishughulishi wala hakushiki popote... Akikupa kero coz sio mjanja asipokupa kero coz ya upwiru. Nna mwaka wa 5 huu hajawahi BJ licha ya kumuomba several times.
 
Back
Top Bottom