Wanawake walioolewa huliwa na wapenzi wao wa zamani

Haya mambo ni cycle lakini! Mwanamke aliyeolewa analiwa na Ex wake,mwanamme anayekula Ex mke wake analiwa na Ex! Ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya 365!
 
Ikija thread kama hii kila mwanaume atasema yeye anamgonga ex wake na sio mke wake anagongwa na mwanaume wake wa zamani....!
 
Kuna kaukweli juu ya bandiko hili,kuna binti nilipiga game moja tu na kutokana na Mimi kutomuelewa saana nikateleza kama kambale. Binti alinitafuta Mara nyingi kama Osama alivyotafutwa na Marekani lakini wapi,after two yrs akanambia nimeolewa nikamshukuru sana maana ilikua kero. Kasheshe akaliamsha dude tena kuwa anataka mzigo nikamuuliza we si mke Wa mtu akasema oooh mikube ipo tofauti sana na anaumisi mkube wangu. Nikamsikitikia Mme wake sana,yaani kidume unaweza ukawa unajidai nina mke home kumbe una mwanamke anamuwaza MTU mwingineee. Hata hivyo sikurudia matapishi
 
Haya sasa...
1. Mwanajeshi mwenye cheo cha Luteni
2. Anayeishi mtwara
3. Mwenye watoto wawili na mke mwenye wazazi Dar...

Anza kufuatilia mwizi wako huku
yani uyu ukimkata insmpeleka kwanza camp zeni unampa tifu co la nchi hiii maninaaa unampitishia waya wa msikaki ule wa moto kwny kipofu chake cha mkojo afu unamwambia nenda.....

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,
Kuna kautafit kadogo nmefanya na nmegundua asilimia kubwa ya wanawake waliopo ndoani hawana ujanja wa kuwakwepa ex waliompenda na wakaachana kwa sababu flan na badae kuolewa na mwingine tena wengi wao humtafuta ex wenyewe.

Binafs yamenikuta, kuna dada tulikua kwenye mahusiano lakin badae tulitofautiana tukaacha bila ata kushiriki mchezo,baada ya mda aliolewa nkamsahau kabisa lakin miaka miwil badae alinipigia simu na akajitambulisha yy n flan,m nkamuliza umeipata wap no yangu kajibu ipo kichwan mwake na hawez isahau,
Nkammwambiwe we n mke wa mtu sasa cyo vizur kuwasiliana tena,kajibu ata mmewe anajua mm na yy tuna mawasiliano na amna tatizo.
Mwingine nae nliewai kua nae na Mzigo nlipigaga sana badae tukazinguana tukatemana, na akaja olewa na mwanangu mmoja iv,ss majuz kantext.

Hii imekaaje wakuu maana inaaminika wanawake walio olewa ni waaminifu sana Lakini kwa hili nawapunguzia point.

Wanawake wa jf hii inawahusu sana..
NAWASILISHA
Ulie achana nae hasa uliemfunua hana ujanja ipo siku lazima akukumbuke hasa anapopanga panga mahesabu ya waliompitia akigusa kwako hasa kama aliuzimikia mziki lazima aruke hewani mkuu so ni kawaida sana
 
Back
Top Bottom