Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Pale unaposikia mapenzi ya wanawake wa kitanga (sio hawa waliochakachuliwa na maisha ya kimjinimjini) wale orijino yanachanganya wanaume ukadhani labda watu wanatania, ni kweli.

Mwanamke akihongwa hela atahakikisha anakupatia huduma-wewe mwanaue uiyemhonga-inayoendana na thamani halisi ya hongo uliyompatia. Atakupatia mahitaji yako na 'kukuhudumia' kwa kiwango kinachoendana na gharama halisi ulizotoa-utakula chakula kizuri na kitamu, ikibidi atakununulia zawadi za kawaida lakini zenye kuukonga moyo wako.

Kama huyo ni nyumba ndogo yako basi kuna uwezekano mwanaume ukahamishia makazi kwake, au kama ni mpenzi, jiandae kuoa tena kwa wewe mwanaume kushinikiza ndoa kwa haraka. Kifupi ni kama anaikurudishia hela yoooooooooooote uliyomhonga kwa njia ya huduma bomba na zenye viwango.

Wako tofauti sana na wanawake wa mikoa mingine ya TZ ambao leo ukimwambia atumie gari lako kurudi kwao, kesho ataomba umnunulie Spacio.

Tanga kuna raha bwana!
 
Mi ndo maana nimejikita maeneo ya Chuda raha nazo pata we acha tu.
Nikifika tu ananibeba toka mlangoni mpaka chumbani kisha ananivua nguo na kuniandalia maji ya kuoga yaliyowekwa viungo. Tanga jamani raha asikwambie mtu unaweza hamia kabisa.
 
Nyie danganyaneni tu.Hakuna cha bure.
Jiulize - kwanini mwanamke akubebe, kwanini maji ayaweke viungo...je hivyo viungo ndani yake mna nini?
Shauri zenu!
 
Nyie danganyaneni tu.Hakuna cha bure.
Jiulize - kwanini mwanamke akubebe, kwanini maji ayaweke viungo...je hivyo viungo ndani yake mna nini?
Shauri zenu!

Siku ya kwanza alinivalisha condom kwa mdomo khaaa! kweli Chuda raha.
Mtu unapata kitu roho inapenda roho kwatu nikitokaga Chuda nakuwa mwepesiiiiiiiiiiiii alafu ghalama za maisha si kubwa kama Dar nikiwa kule pweza bei chee tu kistobe hakihitaji mchemsho wala Heineken kama wa mujini.
 
Mi ndo maana nimejikita maeneo ya Chuda raha nazo pata we acha tu.
Nikifika tu ananibeba toka mlangoni mpaka chumbani kisha ananivua nguo na kuniandalia maji ya kuoga yaliyowekwa viungo. Tanga jamani raha asikwambie mtu unaweza hamia kabisa.

Na wakati wa mambo yetu yalee... usipomnanihii basi ana ku..Cameroon na kidole chake
 
wakati wewe unasoma btn the line mie nasoma on top of the line ndo maana naelewa, by the way sija-jump nimekaa.

kasema anawahonga hela,wanatoa huduma sawa na hela walolipwa. Sasa utalipwa hela kama huuzi?

mbona umeenda mbali sana! limeongelewa suala la kupeana raha kwa watu ambao ni wapenzi. Jaribu kuwa unasoma between lines. Inaonekana huu ni udhaifu wako mkubwa sana. Do not jump into conlcusion kama issue hujaielewa sawasawa
 
Nyie danganyaneni tu.Hakuna cha bure.
Jiulize - kwanini mwanamke akubebe, kwanini maji ayaweke viungo...je hivyo viungo ndani yake mna nini?
Shauri zenu!

mie nadhani ndiyo vinavyochochea hiyo raha mwanaume anayoisikia hadi ajione kama mfalme wa tz yote. Mtu unaenda hadi raundi nne ndani ya dk 45, ili hali ukienda kwa waswahili ukifanikiwa raundi 2 ndani ya masaa ma3, ushukuru
 
Back
Top Bottom