Asha Baraka?Nabii Flora?Sasa kama amekuPM kwa nini unamwaga mpunga hadharani?si ungemjibu huko huko kwenye PMMwenye jina linalofanana na yule mama anayepaka mamikorogo.
Mimi nilimPM, nakiri...Nani akuPM wewe?
kwa hiyo hapa anakusema wewe?Mimi nilimPM, nakiri...
Anatusema wengi tu, mi sijui nani mngine alimtumia PM... ila mimi nilituma, tena mbili. Akajibu moja, ingine akachuna...kwa hiyo hapa anakusema wewe?
mama yupi?Si umtaje?nimeshasema namuongelea mtu mwenye jina linalofanana na yule mama anayetumia mikorogo
mama yupi?Si umtaje?
ila mimi nilituma, tena mbili. Akajibu moja, ingine akachuna...
Aaah!Mwita bwana,sijui anataka ujiko kuwa na yeye anaPMiwaeti as...dii, jaza nafasi zilizo wazi mwenyewe
thread ndeeefu kumbe ni mtu mmoja anajibishana mwenyewe
thread ndeeefu kumbe ni mtu mmoja anajibishana mwenyewe
hahaha kumbe......Mambo ya Mwita huyajui wewe?
Tuwekee matipo choisi ili tuchuzi ze korekti answa.eti as...dii, jaza nafasi zilizo wazi mwenyewe
:A S-confused1:Niki-log on mnajifanya hamnipendi na matusi tele mwanitolea lakini niki-log off hamchelewi kunitumia PM eti ooh sijui mnanipenda mara ooh eti sijui mnani-miss. Kuweni na msimamo nyie viumbe na hasa wewe mwenye jina linalofanana na yule mama anayejipaka mamikorogo.
Ahahahaaa! kumbe huwa wanakumiss poti?