Seriously speaking hakuna kitu kinachonikera kama makeupsWenyewe wanakwambia wanaangalia reception (face). Inapakwa make up hata chunusi na harara huzioni.
Si waende Gym
Kitambi kipo dear?Wanaume wa Dar kama kawaida yenu.
ha ha ha ha ha ha ah mie nakifanyia mazoezi sana kukwepa haya majungu ya wanaume wa dar.Kitambi kipo dear?
Mawigi iwe mara moja moja,either la kuvaa or kushonea ama kubandika..Co masaa 24 wiki nzima,miezi 12 uko na mawigi kichwani tu.Haipendezi
wengi hawajiamini na urembo wao wa asili wanauharibu sabb ya hivi vitu fekero..Utakuta anaweka wigi mwezi mzima sasa zile nywele zake za asili zinakuwa zimebanwa,hazipat mafuta,mba kibao na mwisho zinaharibika..Vile vile kucha za bandia zinaharibu kucha zako halisi,mikorogo,kope,makalio,mboni,...Jikubali kama ulivo
Tena vitambi ndiyo balaaKwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,
Source mimi mwenyewe niko manzese
Kwa taarifa yako hao wenye michirizi huwa ni****** sana.Hilo ni kweli na wengi wameenda mbali zaidi wanatokewa michirizi flani utafikiri nyufa.