Wanawake unguja kusini waandamana

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,788
7,752
Wameandamana kupinga kuibiwa waume zao na wanawake wa kitanga ambao kwa hivi sasa wameibukia unguja.

wanaitaka jamii iwaonye waacha kuwaiba waume zao.....mapenzi yalianzia Tanga ....waunguja wanahofia hali ikiendelea waume zao hawatoonekana home na pia machotara wengi wataongezeka

......waume zetu msiwaguseeee...TENA mtukome mrudi kwenuuuuu
 
muumini katoka dar kaja kuoa tanga!haaa bwana misosi uko wapi?ile ngoma yako ya mabinti wa kitanga inahusika sana
 
Wameandamana kupinga kuibiwa waume zao na wanawake wa kitanga ambao kwa hivi sasa wameibukia unguja.

wanaitaka jamii iwaonye waacha kuwaiba waume zao.....mapenzi yalianzia Tanga ....waunguja wanahofia hali ikiendelea waume zao hawatoonekana home na pia machotara wengi wataongezeka

......waume zetu msiwaguseeee...TENA mtukome mrudi kwenuuuuu

Urithi, utajiri, matumaini yao duniani ni waume! Stuck in the past!
 
Khaa!
Mbona ilikua ni North Unguja (Nungwi) where there many Hotels! Na hao watanga wakiwa kama unskilled labor ktk hizo hoteli!
...
Kumbe wamehamia na South Unguja ee?
 
He he he he haya mambo bana, sasa wao c nawadili na waume zao?? Wanawaambia watasikika kweli??
 
Wameandamana kupinga kuibiwa waume zao na wanawake wa kitanga ambao kwa hivi sasa wameibukia unguja.

wanaitaka jamii iwaonye waacha kuwaiba waume zao.....mapenzi yalianzia Tanga ....waunguja wanahofia hali ikiendelea waume zao hawatoonekana home na pia machotara wengi wataongezeka

......waume zetu msiwaguseeee...TENA mtukome mrudi kwenuuuuu
Hahahahaha.....! Hii balaa sasa, japo mimi nawashauri wafanye moja kati ya haya....!
  1. Kila mmoja anunue bastola, then kila wakimuona wakiibiana watunguane. Bila shaka kila mwizi atakoma.
  2. Waandae mkusanyiko mkubwa wa hao wanawake wasio na waume, halafu wawalipue, then hali itakuwa shwari kabisa...!
NOTE: Mwanaume haibiwi, bali hutoa huduma kwa mke wake...!
Lakini, hivi mwizi ni nani kati ya waume zao, na hao wanawake wanaotoka Tanga?
 
Wameandamana kupinga kuibiwa waume zao na wanawake wa kitanga ambao kwa hivi sasa wameibukia unguja.

wanaitaka jamii iwaonye waacha kuwaiba waume zao.....mapenzi yalianzia Tanga ....waunguja wanahofia hali ikiendelea waume zao hawatoonekana home na pia machotara wengi wataongezeka

......waume zetu msiwaguseeee...TENA mtukome mrudi kwenuuuuu

Nimefikiria kipuuzi kuwa huenda tatizo si wanawake wa Ki-Tanga kuhamia Unguja bali wanaume wa Unguja wenye ndoa zao kudharau ndoa hizo na kuangukia kwenye vifua vya wadada hao wa Ki-Tanga. Nafikiri wangeanza kuchukua hatua kwa waume wao ili kuwanyima soko hao wahamiaji!
 
ukosefu wa elimu unaopelekea ugolikipa, kutwa kusikiliza mipasho tu, wangekuwa na kazi zao wala wasingegombea wanaume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom