Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,934
- 20,199
๐ก๐ฎ๐ฒ๐จ ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ง๐ ๐๐ง๐๐ฌ๐ก๐ข๐๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ฅ๐ขKama ni mwanamke basi ni wale wa kuja wafuga mikucha, na minywele mpaka kwa visigino... kama ni wakiume basi marinda huna, wanaume washatatua kitamboo!
As long as simps wapo, gold diggers hawawezi kuishaGold diggers
Pesa,MTU anaweza akawa na pesa na akawa si mtoaji mkuuKutoa nini ๐ค๐ค๐ค๐๐๐
Afu akaja kukuzingua baadaeNinyi ndio mnaofilw@ga
Au ukiombwa tu 071 hukawii kutoa!
Sema nini.. bora wewe unaeonesha makucha yako kuliko wale wa nakupenda tu ulivyoo
NdiooooAfu akaja kukuzingua baadae
Ahahahaha bado tupo pale palePesa,MTU anaweza akawa na pesa na akawa si mtoaji mkuu
kaja juzi na Moto wa kifuu, aibu naona Mimi, ndomana tunachambwaga humu kwa Mambo Kama haya.Yani hpo unadhihirsha kuwa unapenda tu hela na sio mapnz ya kweli, hzo ni dalili za umalaya huo na ufuska
๐๐๐Ahahahaha bado tupo pale pale
Unacheka๐๐๐๐๐๐๐๐
Unacheka๐๐๐๐๐
Watu mnawaza wenzenu watoe tuu ๐๐๐๐๐๐๐sasa nifanye nn Mimi
Umemalizaa haswaaa.Anaweza kuwa na hela na asiwe mtoajiโฆ
Gari indrive zipo.. karne hii sio ya kuhadaika na baby walkers za watu. So childish bhana.