lady in red10
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 209
- 221
Sawa lkn na ww ndo upunguze unionee huruma mwanamke mwenzio,kah!Lady in red10, ongea nae wanasema waswahili. mambo ya kuachiwa ni yeye aamue.
Sema nae taratibu na mpatane.
Sawa lkn na ww ndo upunguze unionee huruma mwanamke mwenzio,kah!Lady in red10, ongea nae wanasema waswahili. mambo ya kuachiwa ni yeye aamue.
Sema nae taratibu na mpatane.
nisamehe my dear, sikumaanisha bhana.
jst to make my day moving.
Hahahaha,maneno kuntu yote nishampa lkn naona ww unataka kuniharibia,tulia mwanakwetusema naye taratibu usiwe na hasira, yuko njiani bado kufika kwangu anaweza aka reverse haendeshi semi trella bali verossa.
Ni rahis ku turn over na akaja kwako. maneno yako tu yawe kuntu kwake utashinda
weee kuna kuonea huruma tena hapo jaman? wewe kaza kamba mwenzio nikidondokewa niseme naona huruma? unanidanganya na siko tayari.Sawa lkn na ww ndo upunguze unionee huruma mwanamke mwenzio,kah!
umeona enh...unanishaurije sasa nikamgegede au nimuache tuuukiona hivyo ujue chat imeshuka tayari
jaman kaja mwenyewe halafu kamtuma mshenga loooh unanionea mie mtoto wa mwanamke mwenzio.Hahahaha,maneno kuntu yote nishampa lkn naona ww unataka kuniharibia,tulia mwanakwetu
lovelyHata usiwaze.
kama unamkataa mtu mkatae for good sio siku ukisikia mambo yake poa unaanza kujipeleka kama kondooo au ukijua umekongoroka ndio unajifanya kumkubaliaMmmh yani kuja watu wakikataliwa basi wanatamani kweli wakute wale waliowakataa maisha yao yamekuwa mabovu, wamechokaa. Jamani ukikataliwa wewe shukuru tu, ukubaliwe/upendwe na Kila mtu kwani wewe nani? Afu sometimes mtu kukukataa sio kwa sababu ni mbaya au umefulia, inawezekana tu hujapata kibali moyoni mwake, au possibly alikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine. Mambo ya kufurahia downfall ya mtu eishhh
Mhhh wewe mbn sasa na Paul unaongea nae hvi?so we kila mtu unamchukua ww?lovely
wewe naweeee, kwani alikuambia ukamgegede au mkapige story kama ulivyotuambia.umeona enh...unanishaurije sasa nikamgegede au nimuache tuu
No need to hold grudges bana. Aliwahi kusema jamaa mmoja kuwa, "kama unatoswa jiulize, ni ubaya ama ufukara?".
Aah jamani inawezekana kipindi kile alikuwa na mtu. Sasa hivi yupo single na umerudi tena, akikukubali kuna tatizo?. Au labda hakuona kuwa upo serious muda ule lol. Kwani kukongoroka tatizo jamani, unamrudisha tu kwenye enzi yakekama unamkataa mtu mkatae for good sio siku ukisikia mambo yake poa unaanza kujipeleka kama kondooo au ukijua umekongoroka ndio unajifanya kumkubalia
hahahahhaha nikisema lovely umeelewa nini my love. naona sasa unaanza kunichukia kisa Kaboom.Mhhh wewe mbn sasa na Paul unaongea nae hvi?so we kila mtu unamchukua ww?
yaani kama angekuwa bado yoko hot kama mwanzo ningekubaliana na wewe lakini hali aliyonayo no thank youAah jamani inawezekana kipindi kile alikuwa na mtu. Sasa hivi yupo single na umerudi tena, akikukubali kuna tatizo?. Au labda hakuona kuwa upo serious muda ule lol. Kwani kukongoroka tatizo jamani, unamrudisha tu kwenye enzi yake
"Chaguo ni lako"yaani kama angekuwa bado yoko hot kama mwanzo ningekubaliana na wewe lakini hali aliyonayo no thank you
malizia basi story. ukakaa kwake akapika mkala kisha ukagonga ukasepa zako, sasa akikupigia hupokei.
Alafu mwanamke mtu mzima hujaonana nae miaka kumi kisha unataka umkute kama alivyokua miaka kumi ilopita? hujui kuna masahibu gani yalomkuta hapo katika kipindi hicho.
kupungua mwili sio ishu inawezekana kaamua kufnya dayati ili aendani na kasi ya maisha ya kisasa au alikuwa anafukuzia bwana wa kizungu na unajua wazungu wao hawataki manyama, au mambo ya kisukari na vidonda vya tumbo vinaweza kusababisha kushisha uzito kwa kiwango kikubwa sana.