Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

ni kujidanganya asili ya mwanume wa kiafrika anaenjoy kulala na mwanammke mwenye nyama ,hata wanaojitia uzungu kuoa 1GB wanamichepuko iliyojazia kukata kiu yao,
hahhahahahaha umenifurahisha sana hapa Mkuu.

nyama nyama nazo ishu bhana. sio unamshika mdada unakutana na mifupa loooh utaogopa hat kuendelea na shoo.

hahahhahaha jst my view and comments.
 
Huu Uafrika mnausingizia mengi sana, kama kweli huwo ungekuwa ni Uafrika basi Wamasai wote wangekuwa na vitambi huko kwenye Manyata!
utaotaje kitambi huku unakimbizana na simba siku nzima ,huna pa kulala normadic kama digidigi,
 
hahhahahahaha umenifurahisha sana hapa Mkuu.

nyama nyama nazo ishu bhana. sio unamshika mdada unakutana na mifupa loooh utaogopa hat kuendelea na shoo.

hahahhahaha jst my view and comments.
sasa mwanaume 1GB na mwanamke awe 1GB haikuji hayo mambo ya ukimbaumbau pelekeeni wazungu huko,eat more food the slogan say
 
sasa mwanaume 1GB na mwanamke awe 1GB haikuji hayo mambo ya ukimbaumbau pelekeeni wazungu huko,eat more food the slogan say
nimejikuta nafurahi na kupiga makofi. unajua ningeweza ningeinua na miguu kabisa kushangilia. Eti mtu unakutana na soap dish hadi viunoni, loooh wanawake tuwe na vinyama vya kishikaji bhana.
 
Umenikumbusha same case different scenario kuna dem mmoja tulipiga nae high school alikua ni mkali balaa light skinned, ushuzi wa haja yan kama kachorwa walahi....yan almost kila men alikua anawish amkojolee yule mtoto....

Kama kawa nilishatupia sound sanaa....nikaishia kupigwa vya mbavu na kubwaga vibaya.....let alone alikua ana nyodo haijawahi tokea...nimekuja meet nae this year posta....ni ameisha, amekongoroka balaa, ule weupe umepoteza kabisa mng'ao....design akikohoa ananiambia kifua kinamuuma (moyoni nikajisemea Alaaa....wale wale wanaotafuna karanga za wahisani. ***** mkenge huu)

Sikuwepo around town kwa muda kidogo...Nikaja piga hadithi na my A level school mates wakaniambia aah fulani ana ngwe-ngwe yule kaachiwa na kigogo flan (Si rahisi kuamini maneno ya watu ila ki ukweli ghafla nikajikuta nakua mpole nikanywea sanaa niki flash back enzi za high school...nikaguna nikajisemea kweli maisha darasa....Daah)

Hawa warembo mjini hapa wengine hawana kazi za kueleweka yet wana push mandinga ya 2014 sijui 2015 we waangalieni tu hivi hivi. Ukipata Cent zako 2 kwa jasho ridhika. Haya maisha sio kabisa !!!
 
Nilikuwa tu najibu pale palipoandikwa kwamba ,,kitambi ni Uafrika" !
ni kweli untill recently kitambi ni dili kwa baadhi ya waafrika ila kwa sie tunaojua madhara yake ni ugonjwa tu na hao ndio wamejazana kwa dokta mwaka wanaliwa hela zao ,baoo moja hoi
 
Umenikumbusha same case different scenario kuna dem mmoja tulipiga nae high school alikua ni mkali balaa light skinned, ushuzi wa haja yan kama kachorwa walahi....yan almost kila men alikua anawish amkojolee yule mtoto....

Kama kawa nilishatupia sound sanaa....nikaishia kupigwa vya mbavu na kubwaga vibaya.....let alone alikua ana nyodo haijawahi tokea...nimekuja meet nae this year posta....ni ameisha, amekongoroka balaa, ule weupe umepoteza kabisa mng'ao....design akikohoa ananiambia kifua kinamuuma (moyoni nikajisemea Alaaa....wale wale wanaotafuna karanga za wahisani. ***** mkenge huu)

Sikuwepo around town kwa muda kidogo...Nikaja piga hadithi na my A level school mates wakaniambia aah fulani ana ngwe-ngwe yule kaachiwa na kigogo flan (Si rahisi kuamini maneno ya watu ila ki ukweli ghafla nikajikuta nakua mpole nikanywea sanaa niki flash back enzi za high school...nikaguna nikajisemea kweli maisha darasa....Daah)

Hawa warembo mjini hapa wengine hawana kazi za kueleweka yet wana push mandinga ya 2014 sijui 2015 we waangalieni tu hivi hivi. Ukipata Cent zako 2 kwa jasho ridhika. Haya maisha sio Eeeh !!!
maisha ni kitabu kisicho na mwisho pole zake dada
 
nimejikuta nafurahi na kupiga makofi. unajua ningeweza ningeinua na miguu kabisa kushangilia. Eti mtu unakutana na soap dish hadi viunoni, loooh wanawake tuwe na vinyama vya kishikaji bhana.
aswaaaa vinyama muhimu sana
 
....Ona mengi anavyokula bata na katoto kazuri kweli.../ akina dada ni lazima wajiongeze kiakili....
 
Mkuu,
Ebu.. samahani
Naomba unitafsirie hapo kwenye ki inglish, maana miwani yangu imeshindwa kunielewesha hapo
hahah fanya kumtafta #mdukuzi akufafanulie,,,,, ndo tatizo la waalimu tukiwa likizo wote tumejazana humu hadi sentens 1 tu ukikosea unasahihshwa fasta.
 
Yamekua hayaa?? Mhhh HV ndo kusema kaboon hunioni amaa unajifanya kipofu,tangu Sikh ya kwanza nakwambia nimeku dondokea .huelewi somo ??
sema naye taratibu usiwe na hasira, yuko njiani bado kufika kwangu anaweza aka reverse haendeshi semi trella bali verossa.

Ni rahis ku turn over na akaja kwako. maneno yako tu yawe kuntu kwake utashinda
 
Kuna dada mmoja miaka kama kumi iliyopita alikuwa moto wa kuotea mbali kila nilipojaribu kutupa ndoana alikuwa ananitolea nje,uzuri tuliendelea kuwasiliana kwa simu kwa muda wote,kwenye whatsap alikuwa haweki picha yake,juzijuzi baada ya kuwa mpweke nikamkumbuka nikaanza kumpigia simu ili tuonane akawa ananichenga ,juzi nikakomaa mpaka nikaenda kwake huko ..... nikastuka mpaka yeye akanistukia,mtoto alikuwa na tako la haja guu guu,pajapaja leo nikakutana na miss 1GB mwembamba kama uzi supu yote hakuna kilichofanya nimkumbuke ni sura na sauti,sijui mwili umeenda wapi,tangu juzi sijampigia tena na simtaki tena ,kweli wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana yule hata ukiongozana nae watu watasema unatembea na shangazi yako dada wa baba yako na hapo bado hajazalishwa ,akizaa itakuwajekila akinipigia sipokei,
We sema hukumpenda tu, story zingne zote za nini? Angalia hapa uone jinsi wenzio wanavyokula hao vikongwe.
images
 
Back
Top Bottom