Wanawake na kujivua gamba

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
5,349
1,224
wakidada wenzangu,

Tulipokuwa shule utasikia mtu anasema; ooh mimi nasomewa, sina haja ya kuhangaika sijatumwa na kijiji! Hii imekwenda hadi tumefika Varsity, utakuwa mkaka ana allowance kama ya kwako, lakini umembana wee unakula pesa yake ( hata kusaidia kule kijijini kwao hawezi), wakati wewe yako ipo, na bado ukitaka kwenda Saloon unampa bill!

Kama hiyo haitoshi, kwenye maisha ya kaiwaida, mkaka anafanya kazi kama yako, mkija kwenye date basi yeye alipe kila kitu hadi tax, chakula (no wonder akitoka hapo lazime adia umpe ujira wake).

Haya ndani ya nyumba,m wote mnafanya kazi sawa, mnachangia, lakini kina kipindi unamwangalia yeye kama baba wa familia, pesa haipo basi yeye atajua anapata wapi, akikuuliza wewe unamwambia MIMI LABDA NIKAHONNGWE! Jamani wakina dada, hebu tujivue gamba!

Juzi juzi tumemsdakama bhoke wa BBA kwa nini? Alikosa mwelekeo, alionyesha piucha mbaya sana. Kwenye jumba la BBA kunataka mwanamke mbunifu, sio design zake yeye kujifanya anajua sana romance na kutongoza wanaume. Kwa kujilegeza kule kwa Nhoke utamlaumu ernest?

Issue ni nini? wanawake (baadhi) tujivue gamba, tuache kutegemea wanaume kupita kiasi, tusimame kwa miguu yetu, tuwe mfano, tuwe wachangiaji, sio wasindikizaji!

Natanguliza samahani kwa wale nitakaowakwaza!~
 
Usijali Lizzy, lakini kutatupa heshima sana!Kila siku tunalalamika kwamba wanaume wanatudharau, unajua ni kwa nini?Kwa tabia zetu tegemezi!
Nimesema hivyo maana ndicho haswa kinachowazuia wenye magamba kuvua.Mtu kashazoea kulipiwa kodi na chakula ghafla aanze kufikiria kulipa mwenyewe... ameshazoea kulipiwa bill mpaka anadhani umeme sio zaidi ya elfu 20 kwa mwezi ghafla anadondoshewa bill ya 50t alipe mwenyewe unadhani atatakaje kama sio kuongeza gamba?!Binafsi nashukuru kwamba sitegemei mtu na wala sitegemei kumtegemea mtu mbeleni kwahiyo hili gamba litanipita.Ila ambao wamelivaa na kulizoea itakua kazi sana kuwashawishi wabadilike.Ni ngumu sana mtu aliyezoea kufanyiwa kila kitu ghafla aanze kuwaza mwenyewe jinsi ya kujiwezesha.
 
Lizzy kama nilivyowahi kusema huko nyuma sirudiii tena!
Srong women do not have those magamba! No wonder, Rostam alitafakari sana kabla hajalivua!
 
wakidada wenzangu,

Tulipokuwa shule utasikia mtu anasema; ooh mimi nasomewa, sina haja ya kuhangaika sijatumwa na kijiji! Hii imekwenda hadi tumefika Varsity, utakuwa mkaka ana allowance kama ya kwako, lakini umembana wee unakula pesa yake ( hata kusaidia kule kijijini kwao hawezi), wakati wewe yako ipo, na bado ukitaka kwenda Saloon unampa bill!

Kama hiyo haitoshi, kwenye maisha ya kaiwaida, mkaka anafanya kazi kama yako, mkija kwenye date basi yeye alipe kila kitu hadi tax, chakula (no wonder akitoka hapo lazime adia umpe ujira wake).

Haya ndani ya nyumba,m wote mnafanya kazi sawa, mnachangia, lakini kina kipindi unamwangalia yeye kama baba wa familia, pesa haipo basi yeye atajua anapata wapi, akikuuliza wewe unamwambia MIMI LABDA NIKAHONNGWE! Jamani wakina dada, hebu tujivue gamba!

Juzi juzi tumemsdakama bhoke wa BBA kwa nini? Alikosa mwelekeo, alionyesha piucha mbaya sana. Kwenye jumba la BBA kunataka mwanamke mbunifu, sio design zake yeye kujifanya anajua sana romance na kutongoza wanaume. Kwa kujilegeza kule kwa Nhoke utamlaumu ernest?

Issue ni nini? wanawake (baadhi) tujivue gamba, tuache kutegemea wanaume kupita kiasi, tusimame kwa miguu yetu, tuwe mfano, tuwe wachangiaji, sio wasindikizaji!

Natanguliza samahani kwa wale nitakaowakwaza!~
Nimeeshakusamehe maana umenikwaza, nikivua gamba nani atanipa hela ya saloon, na mazagazaga mengine
 
kAZI KWELI KWELI! This means that, most of us, (women) will continue to depend on men (financial) for the rest of our lives! No wonder they (men) treat us like any other commodities, a tool of pressure!

Kujivua gamba kazi!!!!

Hongera Lizzy!
 
Mjivue na gamba la viti maalum...hongereni kwa kuwaza kutupunguzia mzigo japo ni ngumu.
 
Ila kuna wanawake ni viboko wa mizinga mm nlitewa bill ya umeme ya nyumbani kwao ,nkamwangalia ,i told her she better go! ,chaaaah nkinki bana!
 
Nimeipenda topic yako, kwa kukiri hili sina shaka umejivua gamba hongera..,hapa ndipo kesi nyingi zinapoanzia, baba karudi ndipo mkaa ununuliwe na ukisahu kuuzima lazima baba anafoka, usiku mambo yanakuwa yale yale 'sijafikishwa mlimani' ..,dada umesemaaa!, dunia ya leo haina faraja kwa wamama tegemezi, hadi kiberiti mnamsubiri baba?hamkuumbwa kuwa tegemeeezi bali wasaidizi-pambaneni hata kuuza ice cream,nyanya nk...hofu kubwa tuliyonayo wababa leo tukifa, nyuma kuna mtu wa kusimamia tuliyoyaanzisha? au ndio mbiooo kuolewa tena!
 
Hongera kwakuwa na wazo + maana huenda 2taacha kuwaona dhaifu na mizigo ya maisha. na kuzaa na nyie na kuwaacha kutapungua dat mean talaka zitapungua. keep it up ladies
 
mwee utatolewa macho hapa, wenzio wanajiita wasaidizi wa vidogo vidogo, sijui nani aliwaambia wanatakiwa kusaidia vitu vidogo vidogo na sio kusaidiana vitu vyote
 
Back
Top Bottom