Wanawake msiotaka kuwa single mother pitieni hili bandiko

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
1,997
7,068
Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena

Enyi mabinti

Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na mwenza wako..jiepushe kadri iwezekanavyo

Usibebe mimba wakati ushajua mwenzio anakuhisia vibaya kwamba unamwanaume mwingine zaidi yake hata kama hakuna ukweli jitahid usibebe mimba mpaka mwenzio awe na amani na wewe

Kama ikiwezekana(nakazia ikiwezekana), usitembee na wanaume wawili kabla hujaona siku zako Kujua kwamba uko safe ama laa hii itakusaidia kwenda direct na kumjua baba wa mtoto

Usibebe mimba ya mtu mwenye majukumu mengi ama asiyeweza kujihudumia Kwa asilimia 95%

Usiwape mtoto wako wanaume wawili Ili kujipatia kipato(wakishajua Kuna asilimia kubwa za kuwakosa wote)

Usidanganyike na kauli za wahenga kwamba kitanda hakizai haramu, vijana wa Miaka hii sio wahenga hivyo hiyo kauli haiwahusu wao wanataka damu zao pure

Usibebe mimba Ili kumteka ama kumfurahisha mwanaume...itakula kwako( you are in for eat)

Narudia Tena usibebe ujauzito endapo mwanaume wako anamashaka na uaminifu wako

Duniani hakuna bahati mbaya kupanga ni kuchagua either ulambe ama unuse ama vyote Kwa pamoja ila faini IPO pale pale
 
Wasibebe mimba nje ya ndoa.

Kuwa Single maza kutokea ndoani tayari angalau una title la MTALAKA.

Kuwa single nje ya Ndoa hata title la kuliandika kwenye marital status linakuwa halikupi uhuru stahiki
 
Tusiupambe usingle Maza. Iv unajua mtu ukiishi naye Miaka miwili anatambulika kama mkeo? Hapa inawahusu wote walio ndani ya ndoa na waliopo getini
 
Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena

Enyi mabinti

Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na mwenza wako..jiepushe kadri iwezekanavyo

Usibebe mimba wakati ushajua mwenzio anakuhisia vibaya kwamba unamwanaume mwingine zaidi yake hata kama hakuna ukweli jitahid usibebe mimba mpaka mwenzio awe na amani na wewe

Kama ikiwezekana(nakazia ikiwezekana), usitembee na wanaume wawili kabla hujaona siku zako Kujua kwamba uko safe ama laa hii itakusaidia kwenda direct na kumjua baba wa mtoto

Usibebe mimba ya mtu mwenye majukumu mengi ama asiyeweza kujihudumia Kwa asilimia 95%

Usiwape mtoto wako wanaume wawili Ili kujipatia kipato(wakishajua Kuna asilimia kubwa za kuwakosa wote)

Usidanganyike na kauli za wahenga kwamba kitanda hakizai haramu, vijana wa Miaka hii sio wahenga hivyo hiyo kauli haiwahusu wao wanataka damu zao pure

Usibebe mimba Ili kumteka ama kumfurahisha mwanaume...itakula kwako( you are in for eat)

Narudia Tena usibebe ujauzito endapo mwanaume wako anamashaka na uaminifu wako

Duniani hakuna bahati mbaya kupanga ni kuchagua either ulambe ama unuse ama vyote Kwa pamoja ila faini IPO pale pale
Mkuu hio sio dawa. Dawa ni kukomaa na kila kidume kilichozaa na binti flani kioe huyohuyo. Kimtu kinatundika mimba halafu kinaenda kuoa mwingine kinamwacha binti anaanza kudanga tu. Kama anatabia mbaya usinge piga mimba, maana haiingii akilini kuacha damu yako ilelewe na mwanamke mwenye tabia mbaya.
 
Usibebe ujauzito kabla ya ndoa, hayo mengine ya mbele yanasolvika
Hata kama ni ndani ya ndoa kama hayo niliyoyataja hapo juu hayatazingatiwa bomu lazima lilipuke tu....sisi wanaume tupo kama nyati akipigwa risasi lazima ajitafakari kwanza amepigwaje na wakati yeye anapembe,, inamaana watu hawaogopi pembe zake mpaka anapigwa ama pembe zake zimekua butu? ....kubeba mimba na wakati mume anajua mke anamchepuko hiyo mimba ni ngumu sana kuikubali Kwa asilimia 100%
 
Back
Top Bottom