Wanawake mnatakiwa kutafakari kwa kila maamuzi unayochukua kwani wakati mwingine huweza kuyajutia.

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Kama utani lakini ni story ukweli jana ilikuwa ni birthday ya girlfrnd wangu pamoja na furaha niliyokunayo rafiki yangu kipenzi naye mke wake ilikuwa birthday yako tukaenda kununua keki kama kawaida tukafunga vzr tukaondoka kuelekea nyumban kati zile keki tulikosea tuliweka picha kila mmoja ya girfrnd wake ...wakati wa kuchukua tukakosea yeye akachukua yenye picha ya girlfrnd wangu na mm nkabaki na ile ya picha ya girlfrnd wake ebana wakati wa kufungua imetokea balaa mwanamke hanielewi ameamua kuondoka..rafiki yangu naye girlfrnd wake ameondoka amemweleza ukweli lkn hajamwelewe tunaomba ushauri wenu tutafanyaje? hata cm hawapokei tena..
 
he pole sana ,, hapo sasa n mwanamke mwenyewe awe muelewa , kwani hakuna badluck? so why wame over react? jaribuni kuwa nyote na friend wako then muwaite ao dadasss , then muongee sio ,hapo huna kosa mkaka,,
 
hebu waiteni kwa pamoja afu muwaoneshe hzo keki washuhudie wenyewe. kama wakishndwa basi wanalao jambo!
 
mmmmh..hii imeshawahi ku-actiwa kwenye bongo movie,nimesahau jina la hiyo movie..
 
terrible mistake, lol!
Unapopeleka zawadi kwa mdada ni vzr kuwa mwangalifu sana maana hawa wenzetu wako sensitive sana na matukio. Ila kwa kuwa imetokea, ni vzr mngekutana na rafiki yako wewe ukiwa na girl friend wako na yeye akiwa na wa kwake ili kuyamaliza. Lakini hii pia itategemea uelewa wa wasichana wenu wote wawili.
 
Dawa yake hapo ni kutuma matusi makubwa makubwa ukilaani uamuzi wake haki ya nani atajirudi wengine ukiapologize wanajua umehusika kufanya uhuni alafu unaomba msamahani we rusha sms za matusi hadi awe saturated nayo ili ajiulize "Mbona amekasirika sana mume wng itakuwa mi ndo mwenye makosa" dawa hii niliitumia kwenye inshu tata kama uliyoipata nikajikuta naombwa msamaha hadi siku ile nililishwa chakula na mke wangu ili hasira ziishe ila kama huna kipaji cha matusi waweza nitafuta pande za PM.
 
Hehehe billie umeniacha hoi,,, arushe makombora ya kufa mtu !!!! Apo chacha
 
terrible mistake, lol!
Unapopeleka zawadi kwa mdada ni vzr kuwa mwangalifu sana maana hawa wenzetu wako sensitive sana na matukio. Ila kwa kuwa imetokea, ni vzr mngekutana na rafiki yako wewe ukiwa na girl friend wako na yeye akiwa na wa kwake ili kuyamaliza. Lakini hii pia itategemea uelewa wa wasichana wenu wote wawili.

itabidi aende na vyeti vya uthibitisho ikiwemo cha kuzaliwa maana huyo mkewe ameshawaka haambiliki hashikiki dawa ni kufoka ndo principle mama ya kuishi na wasichana wa kibongo.
 
Hehehe, mbavu Sina ,kamaa unahisi itasaidia cool man mpe mikoba BiLLIe ,tugange watu
 
Ushauri wangu mambo ya keki na picha, yamepitwa na wakati. Ikizidi kutaneni nyote wanne na keki zenu myazungumze
 
Dawa yake hapo ni kutuma matusi makubwa makubwa ukilaani uamuzi wake haki ya nani atajirudi wengine ukiapologize wanajua umehusika kufanya uhuni alafu unaomba msamahani we rusha sms za matusi hadi awe saturated nayo ili ajiulize "Mbona amekasirika sana mume wng itakuwa mi ndo mwenye makosa" dawa hii niliitumia kwenye inshu tata kama uliyoipata nikajikuta naombwa msamaha hadi siku ile nililishwa chakula na mke wangu ili hasira ziishe ila kama huna kipaji cha matusi waweza nitafuta pande za PM.

Lol...
 
Kama wanawake wenu ni waelewa swala hilo ni dogo sana.
 
Back
Top Bottom