Wanawake mnaopenda kuwapiga picha waume zenu muwapo faragha, uwa mnazipeleke wapi au mnazifanyia nini

Mke na mume mnalala usingizi, mwingine anaweza amka hata akakupulizia moshi, sasa akitaka kukuloga anashindwaje? Picha haina hata maana.

Ukilala na mwanamke, ukapitiwa usingizi, kama umuamini na kumjua vizuri, ni hatari kuliko jambo lolote.

Mume na mke wana uhuru wa kufanya mambo yeyote na mengi bila shida (tukiyaacha yanayo katazwa na Imani zetu na yasiyo ya maadili mema)

Kwa kesi yako ya Manzi, Mimi sijadili mambo ya wazinzi!
 
Niaje mabibi na mabwana

Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke.

Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya mambo hasa wanawake karibuni
Jiandae mkuu. Soon or later kuna jambo litakukuta.
 
Acheni huo ujinga

Mapenzi ya siku hizi hayaeleweki mguu nje mguu ndani atakuja kukupost kwa kukuabisha ili alipize kisasi mkizunguana

Hizi simu huwa zinaharibika tunapeleka kwa mafundi wengine sio waaminifu huchukua picha na video za watu za faragha na kuzipost mitandaoni mambo za connection

Kuwa makini kemea hiyo tabia
 
Magaidi waliojificha kwenye pazia la mahusiano faragha na sim ya nin sasa na unamuona unachekelea tu pengne asije akakunyima kipochi ila ukiendekeza uzinzi utageuzwa JOHN SINS tatizo mna uzungu mwingi.....,... hata sijui naongelea nin ila acha kuendekeza uzinzi mkiachana akabak na hzo picha ndo utakumbuka tunaongelea nin now
 
Niaje mabibi na mabwana

Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke.

Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya mambo hasa wanawake karibuni
Kishirikina sio sana bali kwa matumizi ya baadae ya black mailing ndio hatari zaidi, ni rahisi zaidi kupata manii na nguo zako za ndani kuliko hiyo picha yenye process
 
Back
Top Bottom