Wanawake kuweni wasafi

Ni kweli kuna wanawake wachafu, lakini sababu kubwa ya magonjwa ya wanawake sehem za siri ni wanaume wao, unakuta mwanaume anatoka na magonjwa tofauti kutoka kwa wanawake tofauti analeta nyumban, na kwa wanawake magonjwa ya sehem za siri yanaonekana haraka kuliko kwa wanaume
Ni kweli hawa wanaume ni wazuri sana wasura ila ukishashiriki nao tendo kama sio unakinga umeisha mara UTI,ghono,kila aina anayounaweza hatarisha kizazi Kwa magonjwa ya azinaa
 
....hapana ...magonjwa sehemu za siri yanaonekana haraka kwa wanaume kuliko wanawake.....demu wako/mkeo anaweza kuwa anaumwa gono we usjue hadi aanza ekuoza wakati wewe siku ya pili tu tayari....ni hivyo kwa amagonjwa yote ya chini....wanawake wanakaa nayo mda hadi wajue....tofauti na sisi madume....kojo linaziba dudu fasta ukiambukizwa...
 
Ni kweli hawa wanaume ni wazuri sana wasura ila ukishashiriki nao tendo kama sio unakinga umeisha mara UTI,ghono,kila aina anayounaweza hatarisha kizazi Kwa magonjwa ya azinaa
..kama mwanaume humjui vema na unataka akutie basi hakikisha anatumia kinga..sema siku hizi na nyie mademu mnataka utelezi wa joto la nyama kwa nyama......hampendi ndom...hii nayo shida....
 
Aisee Jana nimetoka safarini from Dar to Arusha kuja kusherekea kristmasi nilipanda marangu coach alfajiri saa 11:45 safari ikaanza mwanzo ulikuwa hauna shida tulisafiri mpaka saa 7 tukaenda sehemu ya kula na kutolea haja na tukaunganisha sasa mpaka Moshi mjini nikaamua nihame siti nikakaa dirishani maana watu walipungua kwenye gari kuhamia hapo kwingine.

Mara ghafla bin vuu kidemu kimetoka huko cheupe kimevaa khanga mapaja njee Ila harufu sasa khaa Kama mayai viza na samaki aliyeoza ukichanganya hayo makwapa, miguu michafu mieusi kisa vumbi ndo uwii huwezi amini tumesafiri 2 hrs sijamwangalia usoni asee maana ni shombo tu nilibaki natizama dirisha tu uzuri a.c ilikuwepo na nilikuwa naskiliza mziki kwenye earphone lkn khaaa alinikosesha stimu kabisa.

Ushauri; naombeni tuwe wasafi hata kwa wanaume Ila nyie wanawake mkiwa wachafu ndo balaa asee ndo maana wanawake wengi wa kiislam wanajipaka Yale ma perfume Yao nimeyasahau kabisa wanajifukiza kabsa hata ukipishana nao unasema yes huyu ni ke kweli Hawa wadada na wamama wanaovaa mikanga duuh mjirekebishe hasa kwenye vyombo vya usafiri ili msiwakwaze wenzenu asee .

SIWASILISHI#$
Jamaniiiiiii
 
Ni kweli kuna wanawake wachafu, lakini sababu kubwa ya magonjwa ya wanawake sehem za siri ni wanaume wao, unakuta mwanaume anatoka na magonjwa tofauti kutoka kwa wanawake tofauti analeta nyumban, na kwa wanawake magonjwa ya sehem za siri yanaonekana haraka kuliko kwa wanaume
..no....,magonjwa ya siri yanaonekana haraka kwa wanaume kuliko wanawake....wewe hujui..mtafte mwanaume aliyeugua gono ..atakwambia dudu liliziba punde tu baada ya kukwaa gono..lakini kwa demu...hatojua hadi k lake lianze kuoza na kutoa harufu mbaya.....
 
Afya ya kinywa ni tatizo sana siku hizi watu wanatema hatari usiombe aongee na simu mpo kwenye basi unaomba angalau basi liingie kuchimba dawa huku ukiomba anywe angalau chai ili akate harufu.
Watu wanatema sana harufu ya kinywa aisee.
Pia usiombe ukutane na wale wavaa carwash kashika Bomba la daladala kwapa chafu halafu linatema perfume.
Ndo maana watu uamua kununua magari binafsi kwa kero hizi.
 
Back
Top Bottom