Wanawake kushirikiana na mashoga

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Wakuu,

Nimekuwa nikijiuliza hivi mashoga wana mvuto gani kwa wanawake na kina dada/vibinti vya College? Manake kwa tathmini ndogo tu saluni ya kike inayohudumiwa na mashoga ndiyo inayopata wateja wengi zaidi tena hata watu wazima.

Lakini kina wanawake haohao wamekuwa vinara wa kulalamika kuwa wanaibiwa waume zao na mashoga, tena cha ajabu hawa mashoga wamekuwa dili zaidi hata katika sherehe za wanawake hususani Kicheni party.

Leo nawauliza hivi nyie wanawake kuna raha gani mnaipata kukaa na mashoga au yale matusi wanayotukana hovyo hovyo au mashoga ni mafundi wazuri wa kutengeneza nywele zenu?

Na huko kwenye Kitchen party ina maana mashoga ni mahodari wa kuwafunda jinsi ya kuishi na waume zenu hata mambo ya kitandani? Ndo maana siku hizi namba ya wanawake wanaoliwa tigo (PETE) ni kubwa sana kuliko inavyodhaniwa.
 
Kinachoniacha hoi vijana wengi wadogo hadi 14yo wanajihusisha na ushoga. Vijana wengi wanaojihusisha na modeling na fashooooon ni mashoga.

Ushoga unashika kasi kubwa sana hapa Tanzania, miaka michache ijayo tutakua na idadi kubwa sana ya vijana mashoga.

Mbaya zaidi wana websites na blog zao ziko active kabisa kuwasapoti na kuwaunganisha pamoja sijui TCRA wanafanya nini.
 
Kizazi cha nyoka... Mungu atusaidie na wazazi pia wananafasi kubwa kuwajenga watoto katika njia iwapasayo ili kupunguza kama sio kuondoa kabisa wimbi hili....
 
uko sawa sana mkuu,hawa madogo wa under 18 wengi wanapigwa sana dudukila kwakuwa wanapenda ubishoo na hawajui kutafuta pesa,wenyewe wanajiita mabottom na top,mi nawafahamu wengi wanaappear katika video za bongofleva ni vibwabwa
 
Mkuu kuna blog yao moja wanaweka namba zao za simu, majina yao halisi na wanapatikana wapi, umri wao. Wengi ni madogo hadi wa miaka 14.

Wameweka sifa zao pale, wanavyojisifu kuweza kkuichezea dushelele unaweza kuchanganyikiwa.

Niliwahi kuwatafta physically baada ya kuamua kufanya kautafiti nilichokiona kule kilinimaliza nguvu, wengi ni vijana wanaopenda raha,wanaofanya kwenye mahotel ya kitalii zanzibar,arusha na hapa dar.

Nilifanya hako ka utafiti nilichojifunza ni kwamba tunakoelekea ni hatari kwa vijana wetu wa kiume. Ukikutana nao huwezi kuamini, ni vijana watanashati kweli,wenye vifua vya mapande sita.
 
Kizazi cha nyoka... Mungu atusaidie na wazazi pia wananafasi kubwa kuwajenga watoto katika njia iwapasayo ili kupunguza kama sio kuondoa kabisa wimbi hili....

Sure, ni kuomba Mungu tu, mimi niliwahi kufanya utafiti kuhusu hao vijana nikaja kugundua ni kundi kubwa sana la vijana wanajihusisha na haya mambo,wengi ni mahotelia,watu wa mitindo,wajenga misuli, wanafunzi hadi wa shule za msingi,wateja wao ni watu wanaoheshimika katika jamii na viongozi wa kisiasa. Hataei sana hii.
 
Daah hali inatisha tulipo na tuendako. Idadi ya marijali inapungua kwa kasi
 
Back
Top Bottom